Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 878
- 1,373
Me nimemaliza 200*, O level hiyo mkuu.2010
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nimemaliza 200*, O level hiyo mkuu.2010
kumbe watoto ndio maana mada zenu azielewekiMe nimemaliza 200*, O level hiyo mkuu.
poa mkubwa wa 2010. Na sina hakika kama ulikua illiborian.kumbe watoto ndio maana mada zenu azieleweki
Hahaaaaaa ishu ya wizi umenikumbushaaa mbali aiseeeeKwangu mi nilkua mropokaji sugu yaan mi na mwenzang
majina ya wapiga kelele tunabadilishan position mi na mwenzang yy ndo anakua wa kwanz kuandkwa au mm
nilkua na sifa sana shule nzma walinijua sometym ulkua unanikuta nipo darasa la 4m 1 nmekaa nawapigisha stor wakat mi ni 4m3
notice nilkua siandk napelek daftar 4m 1 naandikiwa huko notice zote
wakat nareport 4m 1 nilianza kuban kuzi kwenda chaka mwaka mzima hdi hom walipogundua ndo nkaanz kwnda shule
natoka hom fresh huyo napotelea mitini au naenda mgodini na wanangu kutafta dhahabu
sifa mbaya;tushawah kupiga mtungo dem ndan ya kanisa lilokua mbali kidogo na shule
tushaiba deli la mihogo mama muuza mihogo kaingia ndan kufata chenchi si tukapotea nalo
Yapo meng sana nilofanya shule but niishie hapo
Mmmh[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kweli kabisa nina kukumbuka
old moshi au lyamungo ndio awapendi kuogaMGUMU - aisee mimi na kuoga wa No No kabisa..kitabu na mimi, mimi na kitabu.
them good old days...
old moshi au lyamungo ndio awapendi kuoga
Mimi nlikuwa nasifika kwa misuli tembo tuuuu.....matokeo sisimizi.....
Du! hizi sifazingine zakijinga1. Utoro, nimeanza utoro toka darasa la kwanza, nakumbuka hadi mtihani wa kwenda darala la pili nilikuja kushtuliwa na mshikaji huku washafanya hisabati, darasa la pili hivyo hivyo, la tatu nilisoma mwezi mmoja kisha nikatokomea kusikojulikana eti nikaibuka kufanya mtihani wa darasa la nne, mwalimu akanigomea ikabidi wanirudishe tena la tatu.
Ilipofika darasa la 6 nikarudia tabia yangu nikaja kuibuka la 7, shuleni walikua wananijua kwa sufa moja tu, utoro sugu ila siku nikiibuka kwenye mtihani namba moja hadi 3 hainikosi.
2. Utorokaji, jamani nilikua natoroka shule balaa, hadi nilipohamishiwa kwa mwalimu bado nikawa natoroka tu kwenda hom, mwalim hakunichapa aliniweka chini akanishauri nikaacha kutoroka ila nilipoenda secondari nikarudia tabia ya kutoroka na kuchelewa..
Sekondari nikasoma shule ya bweni ya serikali iko katikati ya mji, ikawa kila wiki lazima nitoroke kuanzia ijumaa narudi jumatatu alfajiri maana hapo mjini alikuwepo baba mdogo na akawa hanimind maana matokeo yangu hayakua na shida.
3. Kuna tabia nyingine nilikua nazo ingawa hazikua zinajulikana ni wizi wa madaftari na kalam, kila mhula ukianza tulikua tunapewa/kuja na madaftari mapya huko shule ya msingi, sijawahi kukunua daftari, nilikua na hom library yangu ya madaftari ya wizi mapya najaladia tu jalada zuri huwezi kujua ni yako.
Sekondari pia hivyo hivyo, wale waliokua na miandiko mizuri na mpangilio mzuri wa maandishi ilikua ikikaribia tu mtihani lazima niibe madaftari yao nikajisomee, mitihani ikiisha naweza kulirudisha hapo darasani nikalitelekeza au nikaamua kulificha kabisa.
Sure nimeyamisi sana maisha ya shule.
PoaHuyo ni mimi mkuu..
[emoji3][emoji16]Mimi nlikuwa nasifika kwa misuli tembo tuuuu.....matokeo sisimizi.....
Nimeikumbuka sifa yako ya kile kisado cha uji......hv mlikuwa mnaupiga wangapi
Hahaha Sasa bro ukikata bakuli....si ndio badae mnakuja kusinzia tuuuu.[emoji3][emoji16]
Sema uji wa kwetu ulikuwa mtamu bwana uji wa boarding unawekwa maziwa
Haha.. umenikumbusha mbali saana aseeh.Hahaha Sasa bro ukikata bakuli....si ndio badae mnakuja kusinzia tuuuu.
Uji plus ile miandazi ya monopoly Amina
Dah hiyo ngoma sitaki kukumbuka.Haha.. umenikumbusha mbali saana aseeh.
Mimi sikuwa muumini wa maandazi ya amina. Chimbo langu palikuwa kwa mama idd.
Kuna sehemu niliona uzi wa pumbu erosion hivi unakumbuka hiki kipindi? ?
Daah... arra yule jamaa aseeh alipotea mapema.Dah hiyo ngoma sitaki kukumbuka.
Nakumbuka ilisababisha tuanze kuvaa boxa upepo.... Zile boxa zisizo bana.
Unakuta mtu robo saa nzima anapiga gitaaa.
Umenikumbusha chiganian Arra(r.i.p) and Dunia.