Ulitamani kuwa nani?

Ulitamani kuwa nani?

Ha ha haaah....Umbeya sasa huo Vale...lkn najua huwa mnasema mwanamke kusutwa suna. Ha ha ha..Haya bibie tutakutana chemba basi. Ila chemba kuna joto kali lakini
Joto ndio zuri kwa wakati huu mana nakaribia kuganda huku
 
Nilitamani kuwa Mwanaheria, lakini peer pressure ilinisukuma vibaya, pia kukosa ushauri mzuri na kujiamini kulipoteza. Nilifaulu vizuri sana form six, nikaambiwa sheria ngumu sana, utadisco, nikaomba sheria UDSM nikapata ila nikasema wameniambia sheria ngumu, nikaacha kwenda kusoma sheria nikaishia kusoma UDOM course nyingine kabisaaa BA DS. Ila I believe whatever happen, it happens for a reason, With what i studied imenipa fursa na opportunity nyingi sana nilifanikiwa na kusoma MA, Namshukuru Mungu i am not where i wanted to be, but I am in a place where I not used to be.
I know wat u feel mkuu coz mwenzako kidonda changu bado kibichi sana..goodluck
 
Mi nlitamani kuwa mwanajeshi enzi hizo ikashindikana kupewa nafasi,
Sasa nna ndoto ya kuwa jambazi la kutupwa ili nijikwamue na huu ugumu wa maisha ila cjajua wapi ntapata siraha!
usikute hata baba yako humjui maana hilo jina lako mhhh...
 
is my work nowNiliachana na mke wangu kwa njia ya taraka sasa nna miaka miwili nko singe na sjapanga hata kuoa mwingine lakin ghafla nikapokea sm ya msiba kutoka nyumbani kwetu kwa
Mie natamani nikiwa mkubwa nifanye kazi ya kuhudumia kwenye hoteli kubwa kubwa (food and beverage)
 
Bro mimi sijui kama ilikuwa ndio ndoto yangu au talent, Nikiwa mdogo nilikuwa mhangaikaji kweli kweli kwenye biashara. Nilianza biashara ya kuuza sigara(1984) kwa mtaji wa ZIRO mpaka ukafika sh 1500/=(wakati huo mfuko wa sukari wa kilo 50 ulikuwa unauzwa sh 1000/=). Nilianza kwa kuuza sigara, nikauza magazeti na mifuko ya kutengeneza mwenyewe kwenye bucha za nyama, niliwahi kuza ndizi za kupika kwenye Keep-left, niliwahi kuuza unga wa YANGA, niliwahi kuuza SUKARI kwa kilo. Hiyo ilikuwa ni kati ya 1984 na 1988.
Sasa hivi sijijui mimi ni nani, na sina hela. AIBU
Aisee pole Sana
Saivi ilitakiwa uwe bonge la business man
 
Nilitamani kuwa mwalimu ili niwakwamue wanafunzi wa kike kwenye somo la hisabati kwenye sekondary za vijijini maana nilikuwa nalipenda sana. Lakini naona wazazi hawakupenda sana ivo wakanilazimisha kusomea finance bt what I can say sijawahi kujuta kuwepo upande huu.
Namshukuru Mungu
Na hata baada ya kumaliza chuo nilitamani kufundisha hayo mambo niliyosomea kwa level ya chuo
 
Nilitamani kuwa daktari. Nikajikuta nimeangukia kuwa HR consultants. Form four nilifaulu vizuri nikapangia form 5 tosanaganga combination ya PCB. Nilikosa mtu wa kunishauli, nikaitosa tosa maganga nikaenda private nikasoma EGM, University nikasoma BCOM-HRM hapo ndio ndoto ya udaktari ikapotea kabisa.
EGM Baby
 
Mimi awali nilitamani kuwa mwalimu, napenda SANA kuelekeza na nina kipaji cha kumuelewesha mtu kitu akaelewa vizuri.
Kilichonikimbiza ni maslahi na stara ya ajira ya ualimu, hata ualimu wa vyuo (ukufunzi/u-lecturer) bila ku-hustle kivingine lazima ufe masikini tu
 
Back
Top Bottom