muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,001
Aise nakuja chemba[emoji126] [emoji126]
Joto ndio zuri kwa wakati huu mana nakaribia kuganda hukuHa ha haaah....Umbeya sasa huo Vale...lkn najua huwa mnasema mwanamke kusutwa suna. Ha ha ha..Haya bibie tutakutana chemba basi. Ila chemba kuna joto kali lakini
I know wat u feel mkuu coz mwenzako kidonda changu bado kibichi sana..goodluckNilitamani kuwa Mwanaheria, lakini peer pressure ilinisukuma vibaya, pia kukosa ushauri mzuri na kujiamini kulipoteza. Nilifaulu vizuri sana form six, nikaambiwa sheria ngumu sana, utadisco, nikaomba sheria UDSM nikapata ila nikasema wameniambia sheria ngumu, nikaacha kwenda kusoma sheria nikaishia kusoma UDOM course nyingine kabisaaa BA DS. Ila I believe whatever happen, it happens for a reason, With what i studied imenipa fursa na opportunity nyingi sana nilifanikiwa na kusoma MA, Namshukuru Mungu i am not where i wanted to be, but I am in a place where I not used to be.
usikute hata baba yako humjui maana hilo jina lako mhhh...Mi nlitamani kuwa mwanajeshi enzi hizo ikashindikana kupewa nafasi,
Sasa nna ndoto ya kuwa jambazi la kutupwa ili nijikwamue na huu ugumu wa maisha ila cjajua wapi ntapata siraha!
Joto ndio zuri kwa wakati huu mana nakaribia kuganda huku
Mie natamani nikiwa mkubwa nifanye kazi ya kuhudumia kwenye hoteli kubwa kubwa (food and beverage)
ndo kazi yangu mm apa sometomes is good but boaringMie natamani nikiwa mkubwa nifanye kazi ya kuhudumia kwenye hoteli kubwa kubwa (food and beverage)
Aisee pole SanaBro mimi sijui kama ilikuwa ndio ndoto yangu au talent, Nikiwa mdogo nilikuwa mhangaikaji kweli kweli kwenye biashara. Nilianza biashara ya kuuza sigara(1984) kwa mtaji wa ZIRO mpaka ukafika sh 1500/=(wakati huo mfuko wa sukari wa kilo 50 ulikuwa unauzwa sh 1000/=). Nilianza kwa kuuza sigara, nikauza magazeti na mifuko ya kutengeneza mwenyewe kwenye bucha za nyama, niliwahi kuza ndizi za kupika kwenye Keep-left, niliwahi kuuza unga wa YANGA, niliwahi kuuza SUKARI kwa kilo. Hiyo ilikuwa ni kati ya 1984 na 1988.
Sasa hivi sijijui mimi ni nani, na sina hela. AIBU

EGM BabyNilitamani kuwa daktari. Nikajikuta nimeangukia kuwa HR consultants. Form four nilifaulu vizuri nikapangia form 5 tosanaganga combination ya PCB. Nilikosa mtu wa kunishauli, nikaitosa tosa maganga nikaenda private nikasoma EGM, University nikasoma BCOM-HRM hapo ndio ndoto ya udaktari ikapotea kabisa.
Mkuu We Acha Tu Ndoto Zingine Ni Hatari Ila Kuna Raha Yake ... !Yan unatamani kukimbia familia[emoji87] [emoji87]