Sijaelewa Kwann Nmekuwa QuotedRaha ipi mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kitu nilichogundua watu wengi hupoteza malengo yao kama hawana watu wazuri wakuwashauri. Kwa sasa wadogo zangu nawalea kwenye njia sahihi katika kuchagua na kufanikisha wanavyovipenda.
Mimi awali nilitamani kuwa mwalimu, napenda SANA kuelekeza na nina kipaji cha kumuelewesha mtu kitu akaelewa vizuri.
Kilichonikimbiza ni maslahi na stara ya ajira ya ualimu, hata ualimu wa vyuo (ukufunzi/u-lecturer) bila ku-hustle kivingine lazima ufe masikini tu
Nilitamani kuwa mwanajeshi, nikazuiliwa kujiunga jeshi kwa kuwa eti "huko jeshini nitaliwa sana"
Sahivi natamani kuwa Tajiri tu
Aisee Rwanda ... Burundi ... Congo ... Zambia ... Malawi ... Kuna Visu Vikali Yaani Hadi Rahaa ...Raha ipi mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
hahahahah pole mkuuNilitamani kuwa Padre bad enough nilipokuwa seminarini wito ulianza kupungua kadiri siku zilivyokuwa zinaeenda hatimaye wakanifukuza kabisa.
Ungeenda Tu Jeshini Kwani Sasa Hivi Hauliwi ... !Nilitamani kuwa mwanajeshi, nikazuiliwa kujiunga jeshi kwa kuwa eti "huko jeshini nitaliwa sana"
Sahivi natamani kuwa Tajiri tu
mods wanaruhusu watot,,, kumbe hujakua?Mie natamani nikiwa mkubwa nifanye kazi ya kuhudumia kwenye hoteli kubwa kubwa (food and beverage)