Justdr
Member
- Jun 1, 2021
- 52
- 104
Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it.
Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna mlivyoondokana na hili tatizo/ulitumia dawa gani?
Karibu na utakuwa umesaidia wengi
Natanguliza shukrani!
Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna mlivyoondokana na hili tatizo/ulitumia dawa gani?
Karibu na utakuwa umesaidia wengi
Natanguliza shukrani!