Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

binafsi kuna dawa nilitumia nikiwa Ruvuma(Mbinga).Dawa hii alinipa baba mmoja msabato,iliniponya kabisa vidonda.Kwa bahati mbaya nimepoteza mawasiliano yake na nilishaondoka Ruvuma tangu 2019
Mbona sijawahi kukuona huku mbinga [emoji2957]
 
Nipo hapa nasubiria wataalam zaidi.


Ila mimi nilienda hospital nikapewa madawa na kwa sasa ndio natumia. Nikipona nitawapa mrejesho
 
Huu Ugonjwa mbona una dawa nyingi sana? Nimeshasikia redioni Dawa za aina mbalimbali wote wanadai kutibu hilo tatizo.
 
Wengi wameishia kupoteza pesa zao bure tu.

Kuna Dawa wanatengeneza Wahaya Bukoba unachanganya na maziwa unatumia siku 14 Mara mbili usipopona basi wewe siyo binadamu hata kidogo, Pima hospitali hata Mara ngapi huwezi kukutwa na vidonda vya tumbo.

Binafsi sifanyi udalali wala simuunganishi yeyote kama unafahamiana na wahaya Bukoba pepeleza mwenyewe utafanikiwa kupata, wahaya wengi wapo vizuri kwenye Dawa asili hata ukimwi kwao ni kama marelia tu.
hii kwa wahaya tunaita akachumita mbogo unachanganya na maziwa... au enzitioma unachanganya na maziwa au mashika nguo unachanganya na enzitoima na kachumita mbogo unachemsha......... maelezo zaidi nipm
 
Ktk hizo dawa pia nawaza kuwa hupaswi kuwa na stress
 
Mkojo...fanya hivi ..kojoa mkojo wa subuhi..uwache mpaka Kesho yake .Kisha Anza kuunywa ..weka kwenye kijiko, kila siku asubuhi kabla hujala kitu kaa kama dakika 30 mpaka 45 Kisha piga mswaki...ndani ya muda mfupi Hilo tatizo litaisha...
Unakunywa vijiko vingapi
 
Back
Top Bottom