KivipiMlonge
Mlonge uliniponya chukua majani yake weka kwenye blender saga glass moja kunywa kutwa mara 2Kivipi
ShukranMlonge uliniponya chukua majani yake weka kwenye blender saga glass moja kunywa kutwa mara 2
Inaponya au inatuliza? Ni combination ya majani gani?kuna dawa inatengenezwa muhimbili idara ya tiba za asili inaitwa "tumo mixture" unatumia vichupa sita. vimenitatulia shida iliyonisumbua kwa muda mrefu sana
inaponya. nimepona kabisa. nilikuwa sili mboga yenye nyanya na hada soda lakini sasa ninakula.Inaponya au inatuliza? Ni combination ya majani gani?
Ngoja tuulizeinaponya. nimepona kabisa. nilikuwa sili mboga yenye nyanya na hada soda lakini sasa ninakula.
suala la majani gani sijui ni dawa ya watu wana patent rights zao. Nilielekezwa famasi moja ipo pale urafiki uposite stendi/banda la mwendo kasi inaitwa ozone medics. ndipo nilinunulia hapo. kichupa wanauza kwa 10,000 ndiyo bei elekezi ya muhimbuli. Nakiete wanaweza wakawa nayo lakini sina uhakika.
Au uende muhimbili, lakini niliambiwa hata huko bei ni hiyo hiyo

inaponya. nimepona kabisa. nilikuwa sili mboga yenye nyanya na hada soda lakini sasa ninakula.
suala la majani gani sijui ni dawa ya watu wana patent rights zao. Nilielekezwa famasi moja ipo pale urafiki uposite stendi/banda la mwendo kasi inaitwa ozone medics. ndipo nilinunulia hapo. kichupa wanauza kwa 10,000 ndiyo bei elekezi ya muhimbuli. Nakiete wanaweza wakawa nayo lakini sina uhakika.
Au uende muhimbili, lakini niliambiwa hata huko bei ni hiyo hiyo
ndiyo hii mkuu...View attachment 2405654nahisi ndo hii hapa
Ngoja tuulize