General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 693
Mkojo...fanya hivi ..kojoa mkojo wa subuhi..uwache mpaka Kesho yake .Kisha Anza kuunywa ..weka kwenye kijiko, kila siku asubuhi kabla hujala kitu kaa kama dakika 30 mpaka 45 Kisha piga mswaki...ndani ya muda mfupi Hilo tatizo litaisha...
binafsi kuna dawa nilitumia nikiwa Ruvuma(Mbinga).Dawa hii alinipa baba mmoja msabato,iliniponya kabisa vidonda.Kwa bahati mbaya nimepoteza mawasiliano yake na nilishaondoka Ruvuma tangu 2019
Hiyo inaitwa GERD(Gastroesophageal reflux Disease)Wakuu mimi nina maumivu hapa kwenye chembe ya moyo. Ni kama kuna kidonda kwa ndani. Ukiinama ama ukinyanyua kitu kizito ndipo unayasikia. Wakati mwingine yanapanda hadi kwenye koo. Ukipiga mswaki ndo unayasikia ama ukipanua mdomo. Nimetumia dawa nyingi za vidonda vya tumbo hazijanisaidia. Nimepima h pylori ikasoma negative. Mwenye ufahamu zaidi anisaidie tafadhali.
Sasa mkojo ukilala si ndo unazalisha wadudu na kutoa harufu kali , ukinywa si utaugua kabisa.Mkojo...fanya hivi ..kojoa mkojo wa subuhi..uwache mpaka Kesho yake .Kisha Anza kuunywa ..weka kwenye kijiko, kila siku asubuhi kabla hujala kitu kaa kama dakika 30 mpaka 45 Kisha piga mswaki...ndani ya muda mfupi Hilo tatizo litaisha...
Nasubr matokeo niko kwenye dozi now ila siku nikimaliza alafu ikawa fresh nitakufata dmVidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it.
Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna mlivyoondokana na hili tatizo/ulitumia dawa gani?
Karibu na utakuwa umesaidia wengi
Natanguliza shukrani!
Sasa nitumie nini? Maana hizi dawa za hospital nimetumia sana na ni kama zinatuliza kwa muda tu.Hiyo inaitwa GERD(Gastroesophageal reflux Disease)
Ukifatiliza huyu jamaa,hakika hauna siku nyingi za kuishi.Kufunga kula ndani ya siku 30-60 ni dawa tosha ya madonda ya tumbo.
Kwa siku kula mlo mmoja tu, na uwe kati ya saa 7 mchana mpaka saa 3 usiku.
Sent from my Nokia 3.4 using JamiiForums mobile app
Kitu figo imeshachuja, ni uchafu unataka kuumiza mwili?Mkojo...fanya hivi ..kojoa mkojo wa subuhi..uwache mpaka Kesho yake .Kisha Anza kuunywa ..weka kwenye kijiko, kila siku asubuhi kabla hujala kitu kaa kama dakika 30 mpaka 45 Kisha piga mswaki...ndani ya muda mfupi Hilo tatizo litaisha...
Hahaha, mkuu kama haufahamu kitu ni bora ukakaa kimya tu, na pia kama unajua madonda ya tumbo yanaanzaje na chanzo chake ni kipi usingesema ulichosema.Ukifatiliza huyu jamaa,hakika hauna siku nyingi za kuishi.
Inapatina wapi hii?View attachment 2405654nahisi ndo hii hapa
Stemcell ndio dawa na kinga pekee unayomalizia shids hiiVidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it.
Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna mlivyoondokana na hili tatizo/ulitumia dawa gani?
Karibu na utakuwa umesaidia wengi
Natanguliza shukrani!
Wacha nikae kimya.Hahaha, mkuu kama haufahamu kitu ni bora ukakaa kimya tu, na pia kama unajua madonda ya tumbo yanaanzaje na chanzo chake ni kipi usingesema ulichosema.
Endelea kula milo sita kwa siku na kubugia madawa na kamwe hautopona.