Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

binafsi kuna dawa nilitumia nikiwa Ruvuma(Mbinga).Dawa hii alinipa baba mmoja msabato,iliniponya kabisa vidonda.Kwa bahati mbaya nimepoteza mawasiliano yake na nilishaondoka Ruvuma tangu 2019
Mbona sijawahi kukuona huku mbinga [emoji2957]
 
Nipo hapa nasubiria wataalam zaidi.


Ila mimi nilienda hospital nikapewa madawa na kwa sasa ndio natumia. Nikipona nitawapa mrejesho
 
Huu Ugonjwa mbona una dawa nyingi sana? Nimeshasikia redioni Dawa za aina mbalimbali wote wanadai kutibu hilo tatizo.
 
hii kwa wahaya tunaita akachumita mbogo unachanganya na maziwa... au enzitioma unachanganya na maziwa au mashika nguo unachanganya na enzitoima na kachumita mbogo unachemsha......... maelezo zaidi nipm
 
Ktk hizo dawa pia nawaza kuwa hupaswi kuwa na stress
 
Mkojo...fanya hivi ..kojoa mkojo wa subuhi..uwache mpaka Kesho yake .Kisha Anza kuunywa ..weka kwenye kijiko, kila siku asubuhi kabla hujala kitu kaa kama dakika 30 mpaka 45 Kisha piga mswaki...ndani ya muda mfupi Hilo tatizo litaisha...
Unakunywa vijiko vingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…