Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Hawajiamini wanawake. Kama ni hadhara kushuhudia ibadani inatosha. Waislam hurahisisha zaidi. Sasa milioni nyingi kama sio kutesana ni nini.
Ni kweli, wenzetu wa upande wa pili huwa na sherehe za kawaida sana

Wamezidi sana unakuta bajeti ya 1.5M tu πŸ™Œ
 
Unalisha watu 300 umekua Yesu?
 
Unalisha watu 300 umekua Yesu?
Hahaha.......umefikiria nini Mkuu kuwaza hivyo πŸ˜…πŸ™Œ

Ngoja tuchote baraka Kwa kuwalisha watu 300, huenda na Mimi nikawa mmoja wao kuingia peponi πŸ™
 
Nyie ndio viongozi, then wengine wanafuata.

Tena wewe ndio mwenyekiti wao. Hufai hata kidogo.
Kuwa na imani na Wazee Mjukuu

Hivi ile Kiko yangu imefikia wapi?

Fanya kuniletea basi Mjukuu πŸ€—
 
Wanawake wasiojitambua binafsi niliolewa kimya kimya mwaka 2006 . Happy marriage with 5 good children.
Hongera sana Mkuu, wewe ni wa kipekee sana.

Nimejifunza kwenu na Mr wako, ngoja nami niongeze speed na Bibi yenu, watoto wanne nilionao hawatoshi πŸ€—
 
Yaani ulisevu hela kwa miaka mitano kwa ajiri ya harusi ya siku moja
 
Yaani ulisevu hela kwa miaka mitano kwa ajiri ya harusi ya siku moja
Lazima kufanya kitu roho inapenda Mkuu

Ndiyo maana Kuna wachimbaji wa dhahabu kule Chunya, wanachimba Siku wakipata milioni 100, wanakuja kula raha na akina Hamisa hapa Mjini, zikiisha wanarudi tena Chimbo 😜
 
Sio wewe aiseeh! SijasahauπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Mambo mengine yanazungumzika Mjukuu, we njoo na Kiko yangu tuyajenge tu.

Si unajua Babu yenu nimezeeka 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…