Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mzee gani wewe hujali wajukuu!!Hahaha.........kweli Wazee tunatengwa 😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee gani wewe hujali wajukuu!!Hahaha.........kweli Wazee tunatengwa 😜
Aaah hufai wewe!Usikonde Mjukuu, Wazee hatuna baya 🤗
Yes ilikua kubwa. Tulikodi tents, nunua dume mmoja mkubwa, michele na vitu vya sokoni. Masufuria ya kuomba, wanawake wakapika for free. Nilipotaka kuwapa laki mbili ya asante waligoma. Gari ni ya kuazima unajaza mafuta. Pesa nyingi zikaenda kwenye bia. Kwa kua ni nyumbani kila mpita njia anakata kona ajabu wote walikula na chakula kikabaki! Watoto walikua kama Mia ni mwendo wa toa sinia weka nyingine.....Hongera sana Mkuu, harusi ya milioni 5 Kwa Kijijini inakuwa ni kubwa sana
Hapo ukifanya juhudi, mwakani hata Fomu ya Ubunge wanaenda kukuchukulia 🤗👊
Wazee waongooo🤣Kuwa na imani na Wazee 😜
Hofyooooo🤣🤣🤣Ungekuwa karibu ungesikia nilivyoapia
I mean it 🤗
Hongera sana MkuuYes ilikua kubwa. Tulikodi tents, nunua dume mmoja mkubwa, michele na vitu vya sokoni. Masufuria ya kuomba, wanawake wakapika for free. Nilipotaka kuwapa laki mbili ya asante waligoma. Gari ni ya kuazima unajaza mafuta. Pesa nyingi zikaenda kwenye bia. Kwa kua ni nyumbani kila mpita njia anakata kona ajabu wote walikula na chakula kikabaki! Watoto walikua kama Mia ni mwendo wa toa sinia weka nyingine.....
Halafu nikapata laki tano cash kama zawadi, kabati, frige na makorokoro! Mtihani ikawa kuleta hivyo vitu dar! Tulitaka kuwapa wazazi wa pande zote wakagoma. Ikabidi tuvisafirishe. Very memorable experience...nitaambatanisha picha ya ukumbi