Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Nilitumia angalau milioni 20.
 
Vinywaji show niliisimamia mwenyewe, mtu wa chakula aliniangusha. Kilikuwa chini ya kiwango.
Hongera sana kumudu kufanikisha hilo, ndiyo maana baadhi ya watu hupenda kuajiri catering services

Mimi mwenyewe niliajiri mtu wa kupika mzoefu, ambaye nilimpatia mahitaji yote yeye akiwa na Jukumu la kupika tu
 
Mimi nilimpa kazi mtu wa Catering, na tulikuwa tunafahamiana hata kabla ya shughuli yangu, ila nadhani furaha ya tukio ilimzidi hadi akaharibu kazi.
 
Pole sana Mkuu

Hopefully tutarekebisha tatizo Siku za harusi Kwa Vijana wetu wakioa ama kuolewa πŸ€—

Muhimu shughuli imefanyika na Mke yupo ndani kwasasa πŸ‘Š
 
Yaah
Tunashukuru lililo la msingi limekamilika, watu wameshasahau na maisha yanaendelea.
 
Kila la heri sasa kwenye maisha yenu ya Ndoa.

Ukiona dalili za kununiwa ndani ya nyumba, ujue ndiyo kwanza pamepambazuka πŸ€—
 
Akuuu! Ulinidanganya, sitaki😭😭😭
Hahaha...............we niletee Kiko yangu tuyajenge Mjukuu

Nina muda sasa nashinda zangu shambani tu, kuwa na imani na Wazee πŸ€—
 
hongera sana...siye ukumbini kungekuwa hakuna mbwembwe sana, no matarumbeta, no shampeni, bajeti ingeshuka hapoπŸ˜›
 
Ni sahihi Mkuu, Kuna baadhi ya events ukizipunguza automatic na gharama zote za harusi zinapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…