Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Vibaya hivooo! Tupe mbunuuu tupe mbunuuu nasie lo!
Embu muulize yule Lema ambae anasemaga yeye ni tajiri na hana shida wakati huo huo anatoa mapovu ya kutaka ajira (ubunge)Ndugu kijana ulitumia mbinu gani kupata TSH milioni 100? Tunaomba mbinu vijana wenzio wajifunze.
Bet ov 1.5Ndugu kijana ulitumia mbinu gani kupata TSH milioni 100? Tunaomba mbinu vijana wenzio wajifunze.
Niliuza Figo ππNdugu kijana ulitumia mbinu gani kupata TSH milioni 100? Tunaomba mbinu vijana wenzio wajifunze.