Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Sasa Mimi nilishatoa na mahari nifanyeje kumuacha?
ulipotoa mahari ulikuwa unakimbizwa?
hapo zungumza na wazee walo kusaidia kutoa mahari then muachane kwa utaratibu mzuri
ilimradi uwe na sababu zinazo eleweka tu
 
Nilimuacha kmyakmya alipga simu miez zaid ya mitat had numb ya baba akampgia mim nimekula tu mute
Miezi mitatu yote hyo anakutafuta MTU mzima aisee siwezi Fanya hivyo mi nakupigia siku moja usipopokea then nakufuatilia kwingine je upo online kwa namna nyingine nikipata majibu aisee nakufungia vioo na mm kwetu tuna sema si mga sida nda beeh.
 
hahaha
una mletea kiburi cha kihehe lazma akukome
mweer!
 
Miezi mitatu yote hyo anakutafuta MTU mzima aisee siwezi Fanya hivyo mi nakupigia siku moja usipopokea then nakufuatilia kwingine je upo online kwa namna nyingine nikipata majibu aisee nakufungia vioo na mm kwetu tuna sema si mga sida nda beeh.
Alinipenda mm na hela ndio mana
 
hahahhahahahahahahahahah hatar sanaaaa kwangu ilikuwa rahis yaani nanyamaza kimya mpaka atastuka mwenyewe aondoke na imekuwa ivo simuulizi chochote nikishakula nlikuwa nakaa kimya mbaliii namuangalia tu
 
lipia tangazo aisee
 
Napenda kuachwa zaid kuliko kuacha,,maana muachaji hufeli zaid kuliko alieachwa
Hiyo kweli mimi Kuna Binti aliniacha akaingia kwenye mahusiano na mtu mwingine, jamaa kamzalisha nae kumuacha sasa ananitafuta tena na mimi niliisha funga vioo.
 
Kuna Binti, nilikuwa na Mahusiano nae tokea nimalize form four hadi nilipokuwa chuo kikuu nahitimu Mwaka 2015 pale Sua, lakini nikiwa mwaka wa mwisho alianza kunisaliti niligundua tayari akiwa na ujauzito wa mwingine tayari, cha ajabu kazalishwa na kutelekezwa sasa analia turudiane na mimi nilisha Pata mtu mwingine, lakini nilimkataza asinitafute kwenye simu mpaka leo anaendelea kunitafuta kwenye simu haachi. Mabinti kuweni serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…