Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Salutiii....MMU....!!!!!! Niingie janvin mojakwamoja ..binafsi mm ex wangu. Nilimtext. Nikamfahamisha. ...enhe wadau karibun tujuzane..... Je wewe ulitumia njia ipi???
Njia uliyotumia kati ya wanawake 1000 ni mmoja tu au wawili watakao ikubali (sijui jinsia yako)
 
Kwa hiyo mzee hata nikimgegeda huyo mpenzi/mke/chumba/demu wako humuachi utasubiri hadi yeye akuache?
Ukisoma vizur utanielewa,,kuachwa ni bora kuliko kuacha....kuvunjika kwa mahusiano yyte yale duniani yanatokana na wote wawili kushindwa kuwajibikiana,,so lawama huwa za upande mmoja hua hazisaidii sana maana hakuna mtu mwenye mahusiano na yy mwenyewe,lazima kutakua na kutowajibikiana kwa aina fulan inayosababisha kuachana,so kwa kati ya muachaji na muachwaji anaekuja kufanikiwa zaid ni yule alieachwa,,kwa % kubwa yy ndio mhanga zaid ya alie acha maana muachaji hua anajiandaa kuliko muachwaji.
 
Mkuu nikuache tu, maana hata hiyo ya kusema anaekuja kufanikiwa ni aliyeachwa sijui umeipata wapi, sijui ni mafanikio ya nini hayo yanayotegemea kuachwa au kuacha.. kila la kheri mkuu.
 
Mimi wangu alinipenda sanaa nilimpenda sanaa niliitwa majina yote mazuri lakini siku zilivyosonga akaona sina mademu nikawa committed na alivyo mbali taratiibu akaanza jibinua nikaanza kubinya nje yale mapenzi yaliyokuwepo nikaanza pungua simu alikuwa anapiga hata mara 5-6 kwa siku na nikitoka kazini hata masaa mawili huisha tunaongea tatizo akikosea hajui neno samahani hivyo nilichomfanya simu asipopiga simtafuti nimepunguza mawasiliano 95% kwa siku tunaongea mara moja au mbili na hata sekunde 30 hazifiki....miezi miwili iliyopita nime upgrade job ndo anapagawa akawa mpole ataomba msamaha lakini hakuna mapenzi tunasogeza siku tu nakuogopa marafiki & dada zake maana walinikubali nilivyomjali lakini demu anamatusi,haambiliki lakini ukimwambia tuachane anasema haji kupata mwanaume wakumpenda km mm lakini mwisho wa mwezi akija ndo basi mawasiliano ni F
Bila kusita huyo atakuwa mzaramo,au kabila lolote kanda ya pwani au mnyakyusa hao ndo wana sifa ya ktoomba samahan anapokosea yaani huwa wanaforce waonekane wao ndo sahihi yaani dah mungu aniepushe nao
 
Salutiii....MMU....!!!!!! Niingie janvin mojakwamoja ..binafsi mm ex wangu. Nilimtext. Nikamfahamisha. ...enhe wadau karibun tujuzane..... Je wewe ulitumia njia ipi???
Nilikula kona kimya kimya....
 
Back
Top Bottom