Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Kaka sipo hivo kabisa yaan,nilikuwa namuheshim mno, nimemsaidia mengi, sijui kuringa wala kuonyesha zarau mim ni mpole ukiniona utafikir no mlokole aliyeshika dini, mim sio muongeaji, unaweza nikera na nikacheka,
Ngoja nikuulize umeshawahi kumsikia mtu akielezea hivi ''mimi ni mkorofi nina gubu na sina heshima''?
 
Ukisoma vizur utanielewa,,kuachwa ni bora kuliko kuacha....kuvunjika kwa mahusiano yyte yale duniani yanatokana na wote wawili kushindwa kuwajibikiana,,so lawama huwa za upande mmoja hua hazisaidii sana maana hakuna mtu mwenye mahusiano na yy mwenyewe,lazima kutakua na kutowajibikiana kwa aina fulan inayosababisha kuachana,so kwa kati ya muachaji na muachwaji anaekuja kufanikiwa zaid ni yule alieachwa,,kwa % kubwa yy ndio mhanga zaid ya alie acha maana muachaji hua anajiandaa kuliko muachwaji.
Kufanikiwa kwenye nini haswa??
 
Sijui kuacha hayo ndio mafunzo niliyopewa na Babu yangu, ila nishaachwa Mara kibaooo.
 
Back
Top Bottom