Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Mkuuu huyu dem tumeshera 95%
Kama huyo dem co ndugu na
Aliekua ex wang

Maana tabia hapo znafanana kabsaaa
Mlionana pande zipi mwa TZ? Kusini Mashariki au magharibi,[emoji23][emoji23][emoji23] mkigombana unamsemaa haombi msamaha halafu a nakwambia mwanaume kwangu kitu kidogo BAADA ya akija kumi anakulilia kwamba hajawahi kumlilia mwanaume na kwa tabia zake hakuna mwanaume atakayekuja kumpenda km mm napata huruma yakaisha lakini kwa sasa namsubiria likizo tuu tumalize biashara ipo siku ataniuwaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa upande wangu sijawahi kuacha, siku zote naachwa. Napendelea kuachwa zaidi ya kuacha.
 
Haha... Watu tunatofautiana sana... Sijawah kuacha niliachwa na demu mmoja tu.... Sijawahi kuacha tukiwa kwenye mapenzi mim ndiyo ninaekupa option nakuambia kabisa ukinichoka unaruhusiwa kuniacha.... Mim najua nikikuacha kuna kitu kinaitwa Karma.....
Mmmmh..Je,kama wewe ndo unamakosa akakuacha,Karma itaenda upande gani?
 
Mimi mpaka sasa hivi sijuagi kama maex wangu tumeachana au bado‍♂️‍♂️‍♂️
 
Hahahaha hata wangu nilimwacha kimya kimya, kapiga simu mwaka mzima naweka black list kisa cha kumwacha alinipanda kichwani na mateso yalipozidi nikaamua kumtelekeza kimya kimya
mm hao nshakutana nao wengi na staili yangu ya kupiga chini ni hiyo hiyo..unapg kimya bac..
 
Huyo jamaa anaroho nzuri sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa asipobadili mitazamo yake wanawake watakuja kumfanyia vitu vya ajabu hadi atashangaa.
Kitu cha muhimu kabisa katika mahusiano ni uwezo wa kuacha mtu unaeona anazingua, na ukishaamua kumpiga chini, usirudiane nae tena, ni muhimu sana.
 
Nilimuaga nasafiri kikazi,
nikamuachia kila kitu then nikabadil line maisha mengine yanaendelea.
 
Dah ningejua nisingeifungua hii Uzi,niliachwa kimya kimya, nilipiga simu mwezi mzima lakn haikupokelewa ,enginer wa kipare go to hell
😂😂😂 Duuh!

Na saa ingine si ajabu ulituma hadi text na bado akazipotezea. Lol.
 
Back
Top Bottom