Uliwahi kufanya maombi ya mfungo na ukafanikiwa. Tusaidie namna ulitekeleza mfungo wako

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Jina la Mungu linuulie wakuu.

Karibuni kwa michango yenu itakayo kuwa baraka kwenu kwa maana mtasaidia wengi.
 
mfungo wa kufuata mkumbo watu wengi duniani nao ni mfungo? Ni upuuzi tu wala Mungu hana muda wa kujibu maombi yao, kwanza hayasikilizi. Halafu nani huwa anafunga na kuomba? Hakuna, watu wanakula mchana kama kawaida, wanakula kwa kujificha ili wasionekane na kuitwa kobe la mchana. Hiyo dini ni uongouongo na kuwatia watu hofu. Suala la kufunga ni la binafsi, mtu mmoja/kikundi au taifa moja, na anafunga/wanafunga pale tu wanapokutana na mambo magumu kutaka Mungu awaondolee ugumu/shida wanayokabiliana nayo.
 
Maombi yangu ya mfungo yamekuwa ndio mapinduzi ya maisha yangu nikiwa mkoa 2014 nilifanya mfungo wa Mungu anipe maarifa ya maisha nilifanikiwa kupata katiba itakayoongoza maisha yangu yote iliosheheni kila lililopo katika jamii.

Nimeweza kuishi katika misingi ya katiba yangu mpaka napotaka kuwa tofauti kuna nguvu kubwa inanitokea nisiweze kufanikiwa kuwa tofauti na misingi hiyo.

2017 Nikiwa Dar Nilifanya mfungo wa kumwomba Mungu anitoe maisha ya kuwategemea wazazi na mtu yoyote yule
Amini nilipata mawazo mapya kujifunza kazi ya mikono (kushona) katika mazingira magumu sana 14/07/2018 Nilipatakibali cha kuingia mtaani kutoka kwa mlezi wangu. Mfungo wa kweli ni nadhili au chapa isiofutika mbele za Mungu Imani na subira na matumaini yasio na ukomo.

Katiba yangu imenilea nikawa kijana ambaye nimeiva kwelikweli kwani niliandika ktk akili nisioweza kuielewa mpaka leo

Maombi ya mfungo nayatafsiri kama njia ya pekee ya kuongea na yule aliyenifinyanga katika tumbo la mama yangu kwa ukaribu sana.

Tukijikita katika kueleza mafanikio ya mfungo ya miujiza basi Mungu yupo upande wangu nimekuwa na mifungo kila napokuwa kuna jambo lipo mbele ya ufahamu wangu naamini Baba yangu anamaarifa yapitayo yote

2018-2020 Tuliishi kwa kuchangia ghetto mtaani marafiki hawakuwa na nafasi ya kubadili msimamo wa maisha yangu kwani kila nilichogusa kilikuwa ktk mfumo wa katiba yangu Maombi ya mfungo yanahitaji utulivu ilinipelekea kuazima getho la mtu siku nzima kwa ajili ya utulivu wa mfungo bila kiumbe chochote kujua kama niko katika mfungo sisomi neno popote ila nimewekeza nguvu iliyomo ndani yangu ndio sikio la kweli ninalolisikia na kutii.

23/03/2020
Rasmi naanza kumiliki chumba changu binafsi shughuli zangu kwanza niliugawa mda wangu 2018-19 chuo sa1-10
Sa11-3usiku Tution ya kuzunguka nyumba za maboss nilifanikiwa kupata mtaji ambapo 2020/03/23 nijitegemee Rasmi na kuanzisha biashara ya kushona nikawafuta marafiki zangu wa siku zote hakuna aliyejua niko wap.

2020 Mfumo ni uleule maombi maombi maisha yakawa chuo kazini kwangu nashona mabegi viatu sendo na kupunguza nguo za aina zote mishono siliasi anashona fundi wangu mkuu.

Walipita viongozi wa dini zote wakinihasa nifanye mambo biashara yangu wengi wananishauli niende kwa waganga wengi wao wote wanaonishauri wana umri kuanzia 50+ age huku mimi nina -28 na walifanya hivyo kutokana na mazingira niliofungua biashara yana ulozi mwingi na hakuna biashara inasimama.

Nikafungua biashara katika ulimwengu wa roho na kuipa ulinzi madhubuti sikuwa na hofu wala uoga maana ipo nguvu initiao kiburi ndani yangu hakuna niliemjibu vby wote niliwapa hekima ya 5G+ niliwapenda wateja wangu nilifanya kazi kwa wakati na usafi wa hali ya juu sana na uaminifu mkubwa sikubagua mtoto na mtu mzima wote walipewa kipaumbele sawa katiba yangu ilikuwa ndio inanitaka nihudumie watu kwa namna hiyo sigombani sisemi sana na kuelewa kila aina ya mteja na mihemko yake wote watapata mkate wa hekima ktk kipimo kilekile.

2020/07
Naoa kwa lazima nikisema kwa lazima na maanisha Mungu alinitengeneza kiasi kwamba kila kitu kilikuwa kinakuja kimiujiza mke amekuja akasimamia biashara ikawa maarufu kuliko awali

2021
Naajiliwa nikiwa bado mwanafunzi hali yangu ya mifungo bado ilibakia ni siri iliyo ndani yangu najua binadamu ukimweleza hawezi kuelewa kabisa naweza kuwa na mfungo hata wife asijue chochote kinachoendelea kila mmoja awe yeye sitaki awe kama mimi wala mimi niwe kama yeye kila mmoja asimame na misingi iliokweli basi

022 Rasmi namiliki funguo ya chumba changu inje kidogo ya Dar
Nikiwa nimepanga chumba kimoja cha 25k sikuhama mpka namiliki funguo yangu bado Maombi yamekuwa ndio chakula cha maisha yangu ups and downs sibadiliki katiba yangu ni barabara isiyo na njia panda hivyo milima na mabonde yote ni sehemu yangu ambayo Mungu alinicholea.
 
Hongera mkuu Mungu azidi kukuinua
 
Back
Top Bottom