Mmezaa ??? . tatizo hawa wakishakufuma ili mpaka arudi mwanzo Mara nyingi mpaka nayeye atafunwe.
Sikia Acha kucheka Cheka na kumbembeleza .
Hawa wanawake wanahitaji Maisha mix, Leo Unakaza sauti...Kesho unabembeleza, kesho unakua kama simba, kesho kama kondooo ..ndivo wanataka.
Huo ustaharabu wako ni wa kijinga tuu....
Anyway Kwa kosa kama ilo , Inamaana tuseme bado anafikiria lini atakusemee??
Bwanaeeee, Wewe ongea naye, tena ongea kifalme , asikuleteee mbwembwe wala nn..
Mchame laivuuu, Mimi ni mwanaume, nilikusaliti sababu wewe mwenyewe uliacha kunipa u nyumba sababu ya uchumi wangu kutikisika, Nmekuomba msamaha, Leo hii ni miezi kadhaa sijakutana nawee.... Sasa Mimi nasema hivi, Kama utaendelea ivivi Nita kwenda nje.
alafu unatulia...Baada ya hapo jifanye kua unajipkia mwenyewe , unajifulia mwenyewe , unasafisha nyumba mwenyewe Yaan kimya kimya tena huku unapiga miluzi... Huku unapokea simu (fake ) za watu , unapokea simu , unachat sanaaaaaa, unachekaaa weee, unaongea nasimu unachekaa, unachat JF unacheka ( yote haya hakikisha anayaona na kuyasikia )..
Fanya ivo, alafu HAMA kabisa Chumba, lala sebuleni , NUNUA KARANGA MBICHI HATA KILO MBILI......
Endelea kuchat , endelea kuongea nasimu. safisha nyumba yako, panga vitu upya tofauti na alivyopanga yeye... Nunua shuka moja jipya zurii, ,uliweke kabatini chumban , ( Atakimbilia kulitandika, Gomba sanaaa, kwann umelitandika?? Unajua lann ?? Unajua nikwajili ya nani??)...
Litoee , kuja vzuri uliweke pale pale... Endelea kuongea nasimu mpaka chooni. Endelea kua bize, endelea kujipikia,.Endelea kula karanga
Fanya kwa wiki moja tu ....
ASIPOANZA KUKUTEGA UMLE MZIGO...
njooo unipe mrejesho , Nikupe mbinu yapili...
Hawa wanawake, Ni kucheza na Akili yao tu.
Ila nawewe Tafuta pesa alaaah.