Uliwahi kufumaniwa

[emoji23][emoji23][emoji23]. Ila we jamaa,

Ila tafuta hela asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Asubiri mpaka atakaposamehewa[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aahhh mama, sisi wengine sio wanywaji kusema kwamba nipoteze mawazo, sio walevi,sio nn....


Jamaan hapo kati ndio sehemu pekee inayotupa Kiburudisho kimwili nankiroho.



Ivi kweli Nina kaaa nawewe, uninyime iyo kitu daaahhh.



Mwanamke aamue moja..kama anasamehe...asamehee.kama hasemehi aseme hasemehi.


Uyo anaweza mpeleka jamaa hata miezi zaidi ya sita.


Bora ijulikane jamaa ni single Man
 
Mwezi na nusu,pole sana,kama nakuona vile ukilala unavyojikunja ili kuepusha shari,na kinachokuvunja nguvu zaidi ni huko kufumaniwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa hana mpango wa kusamehe angeshaondoka. Hapo tayari ameshasamehe sema jamaa yako anashindwa tu kukaza na kusimama kama mwanaume.... Amwambie tu kama umeamua kuishi na mimi basi timiza wajibu wako kama mke, na kama hunipendi tena mlango huo hapo. Au bi dada kama anahitaji muda zaidi wa kufikiria aende akakae kwao kwa muda apumzishe kichwa, atapata jibu kama anaweza kuendelea na hayo mahusiano au lah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio neno sasa !!!... Mtoa mada
 
Acheni uzinzi oaneni.
Tafuta kazi hudumia hayo yote hayatakuepo
 
Aisee!!! Una uzowefu sana na hawa viumbe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hah hah hapo kwenye karanga mbichi nimecheka sn aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…