Uliwahi kufumaniwa

Tatizo lipo kwako zaidi: ww ni mzinzi halafu sasa hivi umekuwa mzinzi asiye na kazi. Mwanamke ni mvumilivu sana huyo.

Imagine ungegundua yeye ana watoto wawili na alikuficha halafu wakati unajaribu kutafuta sababu ya kumsamehe na kuheal kisaikolojia unamfumania kitandani kwako na mwanaume. Hiyo imagination ndo anayoipitia sasa, ukimwacha utakuwa umemsaidia sana.
 
[emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeipenda hii mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawezaje kuleta mwanamke ndani kwenye nyumba unayoishi na mwanamke tena mbaya zaidi kwenye wakati ambao huna kazi,huna hela.???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise hii dunia vimbwanga vyake yaani umeoa na bado haki yako hupati mpaka hapo mkuu wewe una moyo sana dah usikute mkeo anachapika nje hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kazi yote ya nini?
 
Hahahaaa Ma men[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga tafuta kazi au pesa mwenyewe atakuomba gemu, mwanamke hajaumbiwa shida, shida ni zetu wanaume tu
 
Idiot
 
Uzoefu unaonesha

☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya wala mchepuko☎☎☎

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…