Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa.

Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo

Uliwahi kukutana na hii hali?
 
Binafsi nakumbuka kuna rafiki alishatoa mahari shilingi milioni 2, lakini miezi michache kabla ya ndoa katika harakati za kuanza kuandaa harusi akabaini kwamba mchumba wake ana mtoto na hakuwahi kumwambia, Shughuli iliishia hapo !! hakuwahi kudai mahari aliiacha iende.
 
Ujasiri wa kulipa mahali yote aliutoa wapi??? aliwaletea dharau sana wazee wake, mahali huwa inalipwa nusu au kidogo tu na haijawahi isha
 
Ilinitokea 2019, nikatoa mahari ila ndani ya mieizi 2 nikaghairi hata mahari sikwenda kudai nikaingia mitini tu.
 
Ngoja niwaite my brothers in Jesus waje watupe ushuhuda wao,
Bantu Lady Evelyn Salt Kapeace Lamomy
oi wajomba, nini kiliwakuta mazee..??😂😂
Chalii yangu Carleen unajua nini, yule demu nilimwambia mahari isizidi laki 3. Kufika makwao huko mahari 10m. Tukaomba tuongee pembeni, tukawaacha na sherehe yao ya kupokea mahari hewa. 🤣🤣🤣🤣
 
Ilikuwa inashangaza zamani, sikuhizi unaachwa katikati ya ibada ya kuvishanana Pete au honeymoon....tukubali tukatae ndoa si kitu kikubwa sana sikuhizi...Tena watu hawana muda hata wa kurudishiwa mahari....unaachiwa K yako na pesa zako uanzie mtaji wa kudanga....kwa kununulia make-ups na vigauni vifupi vya kujiuzia🤒
 
Chalii yangu Carleen unajua nini, yule demu nilimwambia mahari isizidi laki 3. Kufika makwao huko mahari 10m. Tukaomba tuongee pembeni, tukawaacha na sherehe yao ya kupokea mahari hewa. 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Umesema yule demu? Hakika mlioanza kumwaribu huyo kipenzi naomba mwache maramoja...yaan haraka sanaa 😖
 
Nilitoa posa.
But the bitch kept fucking her mzungu guy. Pia, mawenge na magomvi yalitia kambi kichwani kwake.
So, nikatemana naye.
We had a baby though. My sweet little girl.
 
Kwa kuwa humu wengi hutumia neno *kuna jamaa yangu flani"
Basi nami ngoja niseme kuna jamaa yangu flani alishalipa mpaka mahali wakati hajapewa mzigo then siku chache kabla ya harusi akapata bahati ya kuonja mzigo akagundua mke mtarajiwa anacheza miguu yote miwili wakati jamaangu yeye sio mtumiaji wa mtaro.
Alisamehe kila kitu akapita hivi
 
Tikisa kabla ya matumizi rasmi
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…