Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

Ngoja niwaite my brothers in Jesus waje watupe ushuhuda wao,
Bantu Lady Evelyn Salt Kapeace Lamomy
oi wajomba, nini kiliwakuta mazee..??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi bana aliniambia yy hajawahi, siku nimempigia simu naumwa aje gheto nikatumia mbinu nikambananishaโ€ฆ lahaulaah!! Nikakuta kitu kinalia fyoko fyoko halafu naogelea kwenye bahari yโ€™a hindi nilisamehe mpk nusu ya mahari niliyotoa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mtseeeuuuw' Bro bhaana..!!
 
Kwanini uoe, tuseme basi ndoa ni mpango wa Mungu. haya kwanini utoe mahari?

Nataka jibu haraka.
 
Jamaaa yangu wa karibu alitoa mahali lakini alighairi kuoa kabisa.mimi ni rafiki yake wa karibu sana,ila hakuwahi niambia kasoro aliyoibaini kwa mchumba wake.Aliishia kusema nimegundua nikimuoa huyu msichana nitaishi maisha yasiyo ya furaha mpaka kufa kwangu.kwa hiyo sitamuoa wala sitaenda kudai mahali.Ilisababisha taharuki kubwa kwenye v familia vikao vingi vingi vya wazee, lakini jamaa alikaza na hatimaye jamaa alioa mke mwingine kwa ndoa.So kutolewa mahali siyo ndoa.upepo unawwza badirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ