Uliwahi kukwama kupata huduma fulani sababu ulishindwa kutoa rushwa? Ulichukua hatua gani?

Uliwahi kukwama kupata huduma fulani sababu ulishindwa kutoa rushwa? Ulichukua hatua gani?

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Wakuu,

Curruption_apaisada.jpg

Wengi wamekuwa wakilalamika kuombwa rushwa ili waweze kupata huduma nzuri sehemu mbalimbali wanazokuwa wanajitaji huduma fulani, na ikitokea hujatoa basiutazungushwa sana mpaka mwenyewe uingie mfukoni kupaka mafuta vyuma ili mambo yaende. Baadhi wanasema kama hujawahi kuombwa rushwa basi wewe sio Mtanzania.

Je, imewahi kutokea ukakosa huduma fulani kwakuwa ulishindwa kutoa rushwa? Ulichukua hatua gani kukabiliana na hilo? Uliripoti katika mamlaka husika juu ya jambo hilo?
 
Write your reply. NYNG TU. Kuna nyngne nilienda kutoa lalamiko kwa mkuu wa wilaya naye akaenda wakamzungusha mpaka nilipoenda takukuru kidogo wakashutuka. Achana na aliyezoea rushwa ni wanjanja sana
 
Back
Top Bottom