Uliwahi kulilia mapenzi?

Uliwahi kulilia mapenzi?

mimi bado sijakutana na hiyo hali au labda kwa kuwa bado ni kijana mdogo wa 3rd floor.
IMG_20240412_185513.jpg
 
Yeah kutokuaminiwa....bora uniache nijue umeniacha ila siyo unaniaminisha upo nami afu huna imani nami....aisee....niache na mapungufu yangu tafuta mtakatifu.Hata ivo hatuishi daima na hakuna tutakachozikwa nacho🙏🏽
 
Back
Top Bottom