Uliwahi kulilia mapenzi?

Uliwahi kulilia mapenzi?

Yeah.!! Ila nna mpango wa kumrudia nasubiriwa mimi tu kubonyeza kitufe, nimegundua ndiye mtu pekee aliyenipenda kwa moyo wake wote na aliweza kunilinda muda wowote.!! 😔
Yeah good choice...sikuzote tunang’ang’ania sehemu sahihi for the future of our children ...sikuzote anaekupenda kweli moyo unajua na kama amekuchoka au anataka kukuacha moyo unajua.Goodluck mama😍
 
Yeah good choice...sikuzote tunang’ang’ania sehemu sahihi for our children their future...sikuzote anaekupenda kweli moyo unajua na kama amekuchoka au anataka kukuacha moyo unajua.Goodluck mama😍
🙏 Leo nitampigia video call najua atashtuka sana’a, huu uzi umenipa nguvu. Nimejiona mkosaji sababu na yy hakutegemea ingekuwa hivo na tungefika mbali.!
 
🙏 Leo nitampigia video call najua atashtuka sana’a, huu uzi umenipa nguvu. Nimejiona mkosaji sababu na yy hakutegemea ingekuwa hivo na tungefika mbali.!
Sana..mtu anaficha jambo ana sababu
 
Ngoja kwanza nicheke... Na ugaidi wangu huu nilie kisa mwanamke??
Haktakaa itokee. Mungu kaumba wanawake wengi ili isitokee mwanaume akaumia hata kidogo kisa mwanamke. Huyu akikuzingua hamia kwa yule. Songa mbele
Hakuna ugaidi kweny mapenzi, walikuwepo watu wajanja na wahuni zaidi yako na wakalizwa.
 
Back
Top Bottom