Uliwahi kulilia mapenzi?

Ni kweli. Ngoja nimpete tu chimamy wangu, nimpe upendo anaostahili
Mpende kabisa ana deserve, dunia hii mwanamke akupende umekuwa pesa? Kwahiyo wanawake wa hivyo ni wachache sana mmoja wapo ni huyo wako.

Dunia ina watu wengi sana, lakini anza kutafuta mapenzi ya kweli uone kimbembe 🀣 Unless hautaki kupendwa, maana kuna watu hawataki kupendwa.

Binafsi jamani napenda kupendwa jamani 🀣 Bila mapenzi sitoboi, natakaga mimi na mahi wangu sambamba.

NB:Ndoa sio mapenzi, ila ni alama mojawapo ya mapenzi.
 
Ww itabidi tukuweke kwenye kitabu cha kumbukumbu πŸ˜‚

Kuna demu aliwahi kuniambia hv Mbaga unajua kuwa unaniboa mpaka kuna muda sitaman kukuona na hapo mm ndo niko top romantic Ya uwezo wangu wa mwisho Kumbe mwenzangu namboa, haya mapenzi KMMK πŸ™Œ
 
🀣🀣🀣🀣 Umemaliza vitabu kabisa! Hahaha
 
Hy Tomba vp tena mamaa angu mbona mm nilikuwa mstaarabu kuheshimu maamuzi yako ya mpaka ndoa ndio tufanye.? Afu umeanza kuniita Albert tangu lini.?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah! Nimecheka mpk basi!! Hivi Mbaga kwann leo umenikalia kooni hivi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…