Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
๐๐๐ namrudia โMy Albert Tombaโ nampenda kinyama!! Ngoja nimuwahi kabla hawajamnyakuaVizuri, mrudie innocent man.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐ namrudia โMy Albert Tombaโ nampenda kinyama!! Ngoja nimuwahi kabla hawajamnyakuaVizuri, mrudie innocent man.
Ww amini hivo ๐Sijui niamini hilo jirani ? Hebu nishauri
Jirani sipo kitambaa cheupe wala cheusi, nimejaribu tu kusema jinsi maraha yalivyo alafu mtu akuache au akusaliti uwe unawaza hivi ni kweli kuna mwingine ndio anapewa kama ilivyokuwa kwangu? ๐Jirani leo umechachuka mno au uko kitambaa cheupe?? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mpende kabisa ana deserve, dunia hii mwanamke akupende umekuwa pesa? Kwahiyo wanawake wa hivyo ni wachache sana mmoja wapo ni huyo wako.Ni kweli. Ngoja nimpete tu chimamy wangu, nimpe upendo anaostahili
Sawa jirani mabadiliko huanza na weweWw amini hivo ๐
Asante mate!Pole sana una mahaba mazito..!! Ukipata nafasi ya kupenda PENDA na ukikinai ondoka usigeuke nyuma.!
๐๐๐๐๐ Atleast mana sio kama mwanzo ๐
Ww itabidi tukuweke kwenye kitabu cha kumbukumbu ๐Bora ninyi mnaliaga mkiwa mmebreakup, Mi mwenzenu naliaga nikiwa niko kwenye mahusiano, naliaga nikiwa bado najali, naliaga nikiwa najaribu kila liwezekanalo kuyafanya mahusiano yasife. Ila once nikitangaziwa kuachwa/ nikitangaza kuacha alooooh! Nakuwaga na roho ya jiwe. Silii ndio kwanza naenda kujipongeza kuwa atleast i tried ๐๐
Break up huwa ni hatua ya mwisho kabisa baada yakuwa nimepambana sana, mimi ni kingโangโa jamani. ๐คฃ ila nikishakubali yameisha, Weeeee!
Ujana bwana! Bora nilishapita.
Kuna muda unawaza alivyokuwa anaifata kwa juu ndo kabisa unaanzisha vita ๐คฃ๐คฃ๐คฃJirani sipo kitambaa cheupe wala cheusi, nimejaribu tu kusema jinsi maraha yalivyo alafu mtu akuache au akusaliti uwe unawaza hivi ni kweli kuna mwingine ndio anapewa kama ilivyokuwa kwangu? ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Umemaliza vitabu kabisa! HahahaWw itabidi tukuweke kwenye kitabu cha kumbukumbu ๐
Kuna demu aliwahi kuniambia hv Mbaga unajua kuwa unaniboa mpaka kuna muda sitaman kukuona na hapo mm ndo niko top romantic Ya uwezo wangu wa mwisho Kumbe mwenzangu namboa, haya mapenzi KMMK ๐
Hy Tomba vp tena mamaa angu mbona mm nilikuwa mstaarabu kuheshimu maamuzi yako ya mpaka ndoa ndio tufanye.? Afu umeanza kuniita Albert tangu lini.?๐๐๐ namrudia โMy Albert Tombaโ nampenda kinyama!! Ngoja nimuwahi kabla hawajamnyakua
"Albert TOMBA" nishaelewa why ulilia, ok good night dogo๐๐๐๐ namrudia โMy Albert Tombaโ nampenda kinyama!! Ngoja nimuwahi kabla hawajamnyakua
๐ hapo wenye roho nyepesi ndio humwaga chozi, akiwaza alivyokuwa anaidondokea ndio kabisa.Kuna muda unawaza alivyokuwa anaifata kwa juu ndo kabisa unaanzisha vita ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐ Dah! Nimecheka mpk basi!! Hivi Mbaga kwann leo umenikalia kooni hivi??Hy Tomba vp tena mamaa angu mbona mm nilikuwa mstaarabu kuheshimu maamuzi yako ya mpaka ndoa ndio tufanye.? Afu umeanza kuniita Albert tangu lini.?
Imagine ww ndio upo kwenye level ya mwisho kabisa ya kuwa romantic Afu Mtu wako anakuambia unamboa ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Umemaliza vitatu kabisa! Hahaha
Unazingua Ujue ๐๐๐๐๐ Dah! Nimecheka mpk basi!! Hivi Mbaga kwann leo umenikalia kooni hivi??
๐๐๐ hilo ni jina nimelitoa kwa bibi Kasie Mahaba bana sio unavyohisi wewe"Albert TOMBA" nishaelewa why ulilia, ok good night dogo๐
Ww ndo unazingua umenikomalia km kweli vile ๐๐๐Unazingua Ujue ๐
Acha bc ufala mamaa ๐Kuna muda unawaza alivyokuwa anaifata kwa juu ndo kabisa unaanzisha vita ๐คฃ๐คฃ๐คฃ