Uliwahi kulilia mapenzi?

Uliwahi kulilia mapenzi?

Ni kweli. Ngoja nimpete tu chimamy wangu, nimpe upendo anaostahili
Mpende kabisa ana deserve, dunia hii mwanamke akupende umekuwa pesa? Kwahiyo wanawake wa hivyo ni wachache sana mmoja wapo ni huyo wako.

Dunia ina watu wengi sana, lakini anza kutafuta mapenzi ya kweli uone kimbembe ๐Ÿคฃ Unless hautaki kupendwa, maana kuna watu hawataki kupendwa.

Binafsi jamani napenda kupendwa jamani ๐Ÿคฃ Bila mapenzi sitoboi, natakaga mimi na mahi wangu sambamba.

NB:Ndoa sio mapenzi, ila ni alama mojawapo ya mapenzi.
 
Bora ninyi mnaliaga mkiwa mmebreakup, Mi mwenzenu naliaga nikiwa niko kwenye mahusiano, naliaga nikiwa bado najali, naliaga nikiwa najaribu kila liwezekanalo kuyafanya mahusiano yasife. Ila once nikitangaziwa kuachwa/ nikitangaza kuacha alooooh! Nakuwaga na roho ya jiwe. Silii ndio kwanza naenda kujipongeza kuwa atleast i tried ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Break up huwa ni hatua ya mwisho kabisa baada yakuwa nimepambana sana, mimi ni kingโ€™angโ€™a jamani. ๐Ÿคฃ ila nikishakubali yameisha, Weeeee!

Ujana bwana! Bora nilishapita.
Ww itabidi tukuweke kwenye kitabu cha kumbukumbu ๐Ÿ˜‚

Kuna demu aliwahi kuniambia hv Mbaga unajua kuwa unaniboa mpaka kuna muda sitaman kukuona na hapo mm ndo niko top romantic Ya uwezo wangu wa mwisho Kumbe mwenzangu namboa, haya mapenzi KMMK ๐Ÿ™Œ
 
Ww itabidi tukuweke kwenye kitabu cha kumbukumbu ๐Ÿ˜‚

Kuna demu aliwahi kuniambia hv Mbaga unajua kuwa unaniboa mpaka kuna muda sitaman kukuona na hapo mm ndo niko top romantic Ya uwezo wangu wa mwisho Kumbe mwenzangu namboa, haya mapenzi KMMK ๐Ÿ™Œ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Umemaliza vitabu kabisa! Hahaha
 
Hy Tomba vp tena mamaa angu mbona mm nilikuwa mstaarabu kuheshimu maamuzi yako ya mpaka ndoa ndio tufanye.? Afu umeanza kuniita Albert tangu lini.?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Dah! Nimecheka mpk basi!! Hivi Mbaga kwann leo umenikalia kooni hivi??
 
Back
Top Bottom