Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Huwezi jua labla nitaweza, mana mwnyw bangi nshawah kuvuta kitambo π labla tutarudi kwenye relisasa apo umeshindwa hekaheka za madera je za bangi utaweza π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi jua labla nitaweza, mana mwnyw bangi nshawah kuvuta kitambo π labla tutarudi kwenye relisasa apo umeshindwa hekaheka za madera je za bangi utaweza π
π labda huenda uyasemayo ni kweli.Siku hizi nimetulia jirani π€£π€£π€£
πππ rudi kwa lishangazi lakoDah Usinifanyie hvy mkuu π au unapenda vile nateseka hv π
bangi ya enzi zako haifanani na ya sasa bwan πHuwezi jua labla nitaweza, mana mwnyw bangi nshawah kuvuta kitambo π labla tutarudi kwenye reli
Jirani leo umechachuka mno au uko kitambaa cheupe?? π€£π€£π€£π sina ugwadu jirani amaaauti.
well done Mwanaume kamili πJana tu nimelia. Nilikuwa nahisi kuanza kumchoka mwanamke wangu. Nilikuwa namtafutia visababu nimuache ila hakujaa. Akaja kujaa majuzi. Alifanya kosa la kupekua simu yangu kwa siri, akapiga picha vitu alivyokuwa na mashaka navyo akakaa kimya.
Zimepita siku kama tatu akaniita kwa unyenyekevu tu na kuanza kuniuliza,nilimtukana sana kwa kunipekua, na nilidhamiria itakuwa ndio sababu ya kumpiga chini kwakuwa nilihisi simpendi kama mwanzo. Aliniomba msamaha ila nilikaidi kabisa na kumpa maneno makali, ikumbukwe siishi nae.
Nimekuja kulia baada ya yeye kuniandikia sms ndefu sana akisema leo (ambayo ndio jana) kuwa ndio amepanda gari anaondoka kabisa kwakuwa nimegoma kumsamehe, ila akanikumbusha kuwa ananipenda sana. Kaamua kuondoka na kurudi kwao na kazi kaacha alipokuwa anafanyia. Nilihisi uongo japo roho ilianza kuniuma. Nikaenda kazini kwake kuhakikisha, sikumkuta na hakuna mwenye taarifa. Ikabd niende anapokaa, nikakuta kweli kaondoka na chumba kaachia.
Nililia sana, nikagundua nampenda ila kibri tu cha kumuona si chochote. Baada ya kumpoteza ndio naona thamani yake. Nilimpigia simu tukaongea, kasema ameamua kurudi kwao tu awe mbali na mm. Tumeshafanya mambo mengi na yeye, zawadi alizonipa, upole, ukarimu na utiifu wake kwangu ndio mambo yanayoniumiza. Rafiki zake walikuwa wakinieleza juu ya jinsi alivyokuwa ananipenda na kunielezea kwao.
Ikabidi nimuombe msamaha kwa kila kitu, nilimwaga machozi. Bahati nzuri amenisamehe na ameniahidi atarudi kwa ajili yangu.
Nimepanga kuishi nae, nimegundua ni mwanamke wa kipekee sana.
Mapenzi rafiki sijui hata Mungu kaweka siri gani πHakika sijui kwa nini huwa hivi, mtu bora huja mara moja na ukishampoteza ndio basi imeisha.
I swear jirani π€£π€£π€£π labda huenda uyasemayo ni kweli.
Ni kweli. Ngoja nimpete tu chimamy wangu, nimpe upendo anaostahiliHongera sana kwa kutambua madhaifu yako yafanyie kazi, ukweli ni kwamba mwanamke bora/mwanaume bora huwa haji maishani mwetu mara mbili⦠Utaupgrade uwezavyo, ila kamwe huwezi kuziba gape la mwenza bora.
Sasa hv kdg najiweza mamaa, kwa lishangazi nilikuwa nae mana nlkuwa na maisha magumu huku nawe pia ulikuwa unataka chcht kitu kutoka kwa Mm mpenzi wako. Ila sasa nataka kuwa nawe tuuπππ rudi kwa lishangazi lako
Pole sana una mahaba mazito..!! Ukipata nafasi ya kupenda PENDA na ukikinai ondoka usigeuke nyuma.!Bora ninyi mnaliaga mkiwa mmebreakup, Mi mwenzenu naliaga nikiwa niko kwenye mahusiano, naliaga nikiwa bado najali, naliaga nikiwa najaribu kila liwezekanalo kuyafanya mahusiano yasife. Ila once nikitangaziwa kuachwa/ nikitangaza kuacha alooooh! Nakuwaga na roho ya jiwe. Silii ndio kwanza naenda kujipongeza kuwa atleast i tried ππ
Break up huwa ni hatua ya mwisho kabisa baada yakuwa nimepambana sana, mimi ni kingβangβa jamani. π€£ ila nikishakubali yameisha, Weeeee!
Ujana bwana! Bora nilishapita.
Sio kwamba bangi za Zaman Ndio OG Ila za sasa n feki.?bangi ya enzi zako haifanani na ya sasa bwan π
Mpaka yakunyonge na hivi una mihemo π€£π€£π€£Mapenzi rafiki sijui hata Mungu kaweka siri gani π
Vizuri, mrudie innocent man.Mi nachangamsha kijiwe hapa wala simaanishi, ila yule jamaa nilimkosea nafsi imenisuta sana ndiomana nilimuacha nikalia kwa huzuni..!! Ila namrudia nimegundua alikuja duniani kwaajiri yanguπ
Yani ni mazuri lakini ni mabaya, watu sahihi wapo ila ni wachache wanaodumu ukiwapata.Mapenzi rafiki sijui hata Mungu kaweka siri gani π
Kwahiyo ss hivi umepata pesa?? πππSasa hv kdg najiweza mamaa, kwa lishangazi nilikuwa nae mana nlkuwa na maisha magumu huku nawe pia ulikuwa unataka chcht kitu kutoka kwa Mm mpenzi wako. Ila sasa nataka kuwa nawe tuu
Sijui niamini hilo jirani ? Hebu nishauriI swear jirani π€£π€£π€£
π Atleast mana sio kama mwanzo πKwahiyo ss hivi umepata pesa?? πππ