Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

Kweri nikiwai kumchapa mpka mangumi hakuna siku nilijutua kama ile maana nilimpasua mpk sasa sitakaa nimpige mwanamke aseeee😂😂😂
 
Ni majambo madogo madogo tu ya hapa na pale, binaadam mkikaa pamoja yaweza kutokea hasa kwa hali ya Mume&Mke. Sina ushauri kwasababu maamuzi uliyoyachukua hayakua maoni yangu.
 
Nikupongeze mkuu kwa kuona uanaume wako unataka kupokwa ....kuna mistari ikivukwa lazima u take actions.. hata simu kuna muda unai reset ili ikae sawa...achana na hao wanaokuja na ujinga eti umekosea...wengi wao wake ndo wanalisha familia...hawana maamuzi yyte ndan ya familia
 
Kamwe usiombe msamaha.

Endelea kuwa kawaida kama zamani yaani usioneshe kama kuna kitu unajishtukia,potezea na jifanye kama haujampiga vile.

Usiombe msamaha aisee hilo tukio ukimuomba msamaha basi atatumia tukio hilo kama fimbo ya kukuchapia kimaneno.
 
Unauliza sisi wenye wake wanne au wa mke mmoja? Kuoa mke mmoja ni kujifunga gereza la mateso.
Wenzetu Waislam wapewe maua yao.
 
Mzee, bar zote hizi ambazo ziko wazi mchana unapiga mke?
Ulitakiwa ukihisi mmepishana chukua elfu thelathini, nenda bar, kula kabisa hukohuko bar, then chukua konyagi kubwa, maji mawili na evervess tatu.
 
Hiyo huwa IMO tu,
Wife kwanza kasingizia nakula hg,niliwakuta usiku mtoto wa watu kapigwa kavimba balaa.
Natolewa hizo tuhuma nikasema never in my life unamwonea tu huyo mtoto.
Wife akahama nyumbani.
Kaenda kwa dadaake,kuweka mambo sawa nikamfata,
Nikala matusi na dharau kibao.
Naondoka mwanamke yuko nyuma yangu km ananisuta na kunitusi.
Zile hasira niligeuka tu akala kofi moja tu kazima.
Sikukimbia,nikambeba mgongoni kabisa kumrudisha kwa dadaake.
Na lilikuwa bonge flani hivi lakini siku hiyo alichezea moto.
Huwa inatokea tu mtu hupangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…