Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nbona sijaona sehemu uliyo narrate kuwa umempiga makofi?Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
Kwa hiyo ikaishaje hiyo kesi?Hiyo huwa IMO tu,
Wife kwanza kasingizia nakula hg,niliwakuta usiku mtoto wa watu kapigwa kavimba balaa.
Natolewa hizo tuhuma nikasema never in my life unamwonea tu huyo mtoto.
Wife akahama nyumbani.
Kaenda kwa dadaake,kuweka mambo sawa nikamfata,
Nikala matusi na dharau kibao.
Naondoka mwanamke yuko nyuma yangu km ananisuta na kunitusi.
Zile hasira niligeuka tu akala kofi moja tu kazima.
Sikukimbia,nikambeba mgongoni kabisa kumrudisha kwa dadaake.
Na lilikuwa bonge flani hivi lakini siku hiyo alichezea moto.
Huwa inatokea tu mtu hupangi.
Alirudi home mwenyewe bila shurti.Kwa hiyo ikaishaje hiyo kesi?
Nani aliwambia huu upuuzi. Ndio maana ndoa za siku hizi zinawashinda.Bonge la kosa
Mwanamke hapigwi
Hasira zikiwaka ondoka au safari
Baada ya muda unarudi
Tema mate chiniSijawahi kupiga mwanamke na sintowahi nimeishi na mwanamke miaka mitatu
Nyie ndio wale mnaoacha nyumba zenu na kwenda kuanza upyaaaHasira zikiwaka ondoka au safari
Baada ya muda unarudi
Kwa umri ni ni baba yako au mke wa mama yako.Nyie ndio wale mnaoacha nyumba zenu na kwenda kuanza upyaaa
#YNWA
Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
Kha! Ushauri gani huu,Bonge la kosa
Mwanamke hapigwi
Hasira zikiwaka ondoka au safari
Baada ya muda unarudi
Pole Sana mkuu.Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home.
Well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week kabla likizo yangu haijaisha nikaamua kumlia timing huyu kiumbe, niko ndani afu kaondoka kaenda kariakoo bila kuniaga kwa Madai yake alienda kufunga mzigo fulani hivi.
Haikuwa kesi sana, sasa leo niko home nikaona ye hajishughulishi na mimi, mie mambo yangu nikawa nampa maelekezo dada wa kazi,kumbe wife akawa anaumia why nampa maelekezo dada while yeye yupo..dada akaondoka kumpeleka mtoto shule akatuacha wawili ndani.
Kwa kifupi wife kanitamkia maneno ya maudhi..aisee nimemchapa makofi sio poa na toka nimuoe huyu naamini sijawahi kumgusa kwa kuchapo ila leo kavuka mstari mwekundu ndio maana kala makofi, kanuna mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka coz anahisi me niko na mtu mwingine.
Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
Anakulaga sana minda akizingua,uzuri yeye ndio huomba msamaa baada ya kujua kosa lake,mimi ndio hubebembelezwa nirudi nomo,baada ya hapo ni mapenzi moto moto na akimisi kichapo husimulia.Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home.
Well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week kabla likizo yangu haijaisha nikaamua kumlia timing huyu kiumbe, niko ndani afu kaondoka kaenda kariakoo bila kuniaga kwa Madai yake alienda kufunga mzigo fulani hivi.
Haikuwa kesi sana, sasa leo niko home nikaona ye hajishughulishi na mimi, mie mambo yangu nikawa nampa maelekezo dada wa kazi,kumbe wife akawa anaumia why nampa maelekezo dada while yeye yupo..dada akaondoka kumpeleka mtoto shule akatuacha wawili ndani.
Kwa kifupi wife kanitamkia maneno ya maudhi..aisee nimemchapa makofi sio poa na toka nimuoe huyu naamini sijawahi kumgusa kwa kuchapo ila leo kavuka mstari mwekundu ndio maana kala makofi, kanuna mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka coz anahisi me niko na mtu mwingine.
Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
Wewe itakua huwajui vzr wabongoPole Sana mkuu.
Njia uliyotumia ya kupiga sio nzuri
Hasara Zake ni kubwa kuliko FAIDA.
Ukimpiga MTU makofi anaweza kutulia Ila hawezi kukuheshimu wala kuwa na adabu dhidi yako.
Watu ambao huwapiga wake zao ,watoto na n.k huwa hawafanikiwi kuwajenga Ila wanabomoa na kumfanya MTU atulie kwa hofu,uoga, na sio Genuine discipline .
Ushauri.
Huyo mke wako ikiwa tayari umempiga tumia njia ya kumuomba msamaha kwa hilo kosa .
Pia mke wako anapokesea jaribu kumpatia constructive criticism -usimkosoe kwa matusi au vipigo Ila mkosoe kwa kumjenga zaidi.
Mfano ameondoka bila kuaga akirudi mpatie hasara za yeye kuondoka bila kuaga , ukimaliza mmpatie na faida za yeye kila akiondoka anabidi kukuaga au kutoa taarifa.
Mwanamke ni Kama walivyo binadamu wengine , wanapenda kurekebishwa na sio kukosolewa. Kwahiyo jikite zaidi katika constructive criticism. Na sio destructive criticism.
Ikiwa umetumia njia zote umefeli unabidi kuangalia therapy ya kumpatia mke wako , mfano waweza mfundisha mambo ya emotional intelligence.
Pia jitahdi -u-outgrow ujifunze mambo mbalimbali kuhusu how to be a responsible Father/husband
Jitahidi kutafuta positive katika kila negative