Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

Kwa hiyo ikaishaje hiyo kesi?
 
Mwanamke akizingua mpe makofi Hawa viumbe Kuna muda wanajitoa ufahamu hasa akishajua udhaifu wako , mwambie kama anataka kuondoka Kwa upumbavu wake aondoke njia nyeupee, tatizo jingine unashinda sana nyumbani lazima utagombana tu na mkeo kama una likizo jaribu kutafuta mambo mengine ya kufanya Ili kupata walau distance na mkeo maana kadri unavyokaa home ndio unagundua mambo mengi hayako sawa mfano ukiwa kazini unaweza letewa chai mapema na wahudumu Tena na karibu nyingi Sasa home unaweza kupata chai saa nne ! Kama hujamuonea basi mkeo atajirudi tu , ila tabia ya kupiga sio nzuri maana Hawa viumbe wanaweza kulipiza kisasi Kwa kukuvizia umelala na kupigwa na mchi kiunoni! Mwanamke anapaswa kujua namna nzuri ya kuongea na Mume kamwe usiruhusu mke akufokekeefokee kama mwanae hata kama umemkosea tabia hii ndio inafanya wanaume kuwapiga wake zao
 
Pole Sana mkuu.

Njia uliyotumia ya kupiga sio nzuri

Hasara Zake ni kubwa kuliko FAIDA.
Ukimpiga MTU makofi anaweza kutulia Ila hawezi kukuheshimu wala kuwa na adabu dhidi yako.

Watu ambao huwapiga wake zao ,watoto na n.k huwa hawafanikiwi kuwajenga Ila wanabomoa na kumfanya MTU atulie kwa hofu,uoga, na sio Genuine discipline .

Ushauri.

Huyo mke wako ikiwa tayari umempiga tumia njia ya kumuomba msamaha kwa hilo kosa .

Pia mke wako anapokesea jaribu kumpatia constructive criticism -usimkosoe kwa matusi au vipigo Ila mkosoe kwa kumjenga zaidi.

Mfano ameondoka bila kuaga akirudi mpatie hasara za yeye kuondoka bila kuaga , ukimaliza mmpatie na faida za yeye kila akiondoka anabidi kukuaga au kutoa taarifa.

Mwanamke ni Kama walivyo binadamu wengine , wanapenda kurekebishwa na sio kukosolewa. Kwahiyo jikite zaidi katika constructive criticism. Na sio destructive criticism.

Ikiwa umetumia njia zote umefeli unabidi kuangalia therapy ya kumpatia mke wako , mfano waweza mfundisha mambo ya emotional intelligence.

Pia jitahdi -u-outgrow ujifunze mambo mbalimbali kuhusu how to be a responsible Father/husband

Jitahidi kutafuta positive katika kila negative
 
Anakulaga sana minda akizingua,uzuri yeye ndio huomba msamaa baada ya kujua kosa lake,mimi ndio hubebembelezwa nirudi nomo,baada ya hapo ni mapenzi moto moto na akimisi kichapo husimulia.
 
Wewe itakua huwajui vzr wabongo
 
Kwa tulio na vinyongo mume asirogwe kuinua mkono nitamuharibia mfumo wa maisha yake yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…