Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

Fanya yote kupigana sio mpango
 
Mshikaji wangu alipiga mke wake! Dada wa mke akaingilia kumnusuru mdogo wake kwa kichapo naye dada mtu akachezea kichapo! Alipiga mke na dada ya mke (shemeji).

Mke alienda kulazwa na dada mtu akawa anaugulia maumivu.

Sijaruhusu kupiga! Ila jamaa ananiambia tangu ile siku mpaka leo mke wake atafanya ujinga ila anafahamu mipaka yake.
 
Bonge la kosa

Mwanamke hapigwi

Hasira zikiwaka ondoka au safari

Baada ya muda unarudi
Upumbavu huu safari mimi, nilivyo introvert napend kukaa Home huko kutoka kwenyewe kwaajiri ya kutafuta kipato tu then eti nasafiri kisa mwanamke kwenda wapi niche kutuloa home kuangalia Movie.
 
Ukiwa na wake wawili wataishia kugombana,kurogana na kutiliana fitna wao kwa wao huku wewe maisha yanakwenda poa kabisa. Ukiwa na mke mmoja atakuroga mpaka akufanye paka nyauuu🐈😂😂
Je,wakikuroga wote?,kila mmoja umpende zaidi,
 
Je,wakikuroga wote?,kila mmoja umpende zaidi,
Kazi ya mumeo ni kupenda wake zake sasa wakuroge kwa kuwapenda hio ndio sababu ya kuwaoa wao. Kama upendo hakuna na ndoa isinge kuwepo.
 
Kiukweli kama muke anafanya mambo ya kitoto me nafikiri ni vizuri ukamshtua kakofi kamoja tu kuonyesha umekasirika tu. Ila usimpige kipigo cha kumdhuru au kumdhalilisha
Hata maandiko yanasema usimnyime mtoto mapigo, sasa kama ana mambo ya kitoto ufayeje??
Nyie mnaosema sio vizuri kumpiga mke unakuta mkikosewa mnanuna unaacha kumuongelesha, au unatukana matusi jambo ambalo linaweza kuwa na athari zaidi,
Mtu unamwonya haonyeki unaita washauri hashauriki,

Mbona mitaani kuna sheria za viboko kwa wanaokosea?
Mbona mashuleni viboko vinapigwa tu tena kwa wanafunzi wengine wanazaidi ya miaka 20, ??
 
Umemaliza kila kitu.

Cha kuongezea,

Mwanamke analambwa makofi mwisho 2 ya nguvu(usizidishe)..alafu kaa kimnya, usiongeee neno lolote, hata akiendelea kutukana au kupanga vitu kuondoka n.k....

Na akiondoka usimfuate,atarudi mwenyewe, na akirudi usimuombe msamaha hata kidogo.Unaendelea na maisha kama hamna kilichotokea.HUWEZI KIMBIA ACHA NYUMBA YAKO ETI MPK HASIRA ZAKO ZIISHE,(MWANAMME HASIRA UNAJI CONTROL TU) ila heshima ikipotea ndani ya nyumba lazima wakumbushwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…