Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Kuna mmama aliweka tumbua lake na sura yake akimsifu huyo bwana anajua kulisasambua, asijue km kalituma kwenye status..!! Baadae akalifuta ila ikawa too late watu wana gb whatsapp wanaendelea kuliona.. ila bi mkubwa kabarikiwa katuzidi hadi mabinti 🀣🀣🀣🀣
 
Doh! Akuhama mtaa kweli
 
Mama aliomba simu ili aangalie video ya Amber Rutty.

Akajaribu kujitumia.

Badala yake akaiset status.

Alivyoona inaload na kuandika sending status akajua kideo kinazama simuni mwake mapema tu.

turns out alimix code.

Mama yetu anazidi miaka 50?
Ni mama ako mzazi au??
 
Mengi naona(ga) ila kwa kuwa ni interest ya mtu na simu yake naacha(ga) kama vlivyo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kmmk

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Wee udugu sio fix kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee udugu sio fix kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli udugu 🀣🀣🀣🀣
Halafu ww ulifichwa wapi?? Mbona adimu sana?!!
 
Kweli udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ww ulifichwa wapi?? Mbona adimu sana?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mambo ni mengi nje ya JF.
afu uzi wa selfika umefunguliwa, wengine tuko banned kwema?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mambo ni mengi nje ya JF.
afu uzi wa selfika umefunguliwa, wengine tuko banned kwema?
Mi mwenyewe nimepigwa ban nimeshangaa aiseee!! 🀣🀣🀣🀣
Itakuwa picha zetu zinawa turn on mfyuu zao
 
Mi mwenyewe nimepigwa ban nimeshangaa aiseee!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa picha zetu zinawa turn on mfyuu zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatari tupuu.
 
Maza bandidu huyo kwanza picha linaanza kesho kaenda job km kawaida..!! Na ukimsemesha anakushushua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna watu nati zimekatika. Wanasema ukienda leba mara tatu nne unakuwa hujarry wara nini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…