Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Kuna mmama aliweka tumbua lake na sura yake akimsifu huyo bwana anajua kulisasambua, asijue km kalituma kwenye status..!! Baadae akalifuta ila ikawa too late watu wana gb whatsapp wanaendelea kuliona.. ila bi mkubwa kabarikiwa katuzidi hadi mabinti 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mmama aliweka tumbua lake na sura yake akimsifu huyo bwana anajua kulisasambua, asijue km kalituma kwenye status..!! Baadae akalifuta ila ikawa too late watu wana gb whatsapp wanaendelea kuliona.. ila bi mkubwa kabarikiwa katuzidi hadi mabinti 🤣🤣🤣🤣
Doh! Akuhama mtaa kweli
 
Mama aliomba simu ili aangalie video ya Amber Rutty.

Akajaribu kujitumia.

Badala yake akaiset status.

Alivyoona inaload na kuandika sending status akajua kideo kinazama simuni mwake mapema tu.

turns out alimix code.

Mama yetu anazidi miaka 50?
Ni mama ako mzazi au??
 
Mengi naona(ga) ila kwa kuwa ni interest ya mtu na simu yake naacha(ga) kama vlivyo
 
Kuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu tuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kmmk

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mmama aliweka tumbua lake na sura yake akimsifu huyo bwana anajua kulisasambua, asijue km kalituma kwenye status..!! Baadae akalifuta ila ikawa too late watu wana gb whatsapp wanaendelea kuliona.. ila bi mkubwa kabarikiwa katuzidi hadi mabinti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee udugu sio fix kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ww ulifichwa wapi?? Mbona adimu sana?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mambo ni mengi nje ya JF.
afu uzi wa selfika umefunguliwa, wengine tuko banned kwema?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mambo ni mengi nje ya JF.
afu uzi wa selfika umefunguliwa, wengine tuko banned kwema?
Mi mwenyewe nimepigwa ban nimeshangaa aiseee!! 🤣🤣🤣🤣
Itakuwa picha zetu zinawa turn on mfyuu zao
 
Mi mwenyewe nimepigwa ban nimeshangaa aiseee!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa picha zetu zinawa turn on mfyuu zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatari tupuu.
 
Maza bandidu huyo kwanza picha linaanza kesho kaenda job km kawaida..!! Na ukimsemesha anakushushua 😂😂😂
Kuna watu nati zimekatika. Wanasema ukienda leba mara tatu nne unakuwa hujarry wara nini....
 
Back
Top Bottom