Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
- Thread starter
- #61
Mama wa kadem ndo kaweka statusHuyu dogo baharia aisee, alivyokamatia hako ka-wowowoo sasa. Nmecheka kinoma.
Sema dogo anaonekana alielekezwa ila kadem ndio kazoefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama wa kadem ndo kaweka statusHuyu dogo baharia aisee, alivyokamatia hako ka-wowowoo sasa. Nmecheka kinoma.
Sema dogo anaonekana alielekezwa ila kadem ndio kazoefu
Kwahiyo unajikuta CIA au sio🤣🤣🤣Tangu january sijawah badilisha dp wala post kitu status na status zenu naview kimyakimya kwa kifupi unaweza jua sipogo wasapu.
Kama dp ya JF na twitter..........na sina mpango wa kubadilisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe kama mimi, yaani sina mpango wa kubadikisha DP maisha yangu yote...yaani ni kama picha ya kitambulisho cha nida tu.
Kila MTU anaangalia porn,Kuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu tuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki😂
Mmhh. Niliwahi post document confidential kabisa. Najua ntamtumia mwenyewe kumbe imeenda kujiweka status. Salama baada ya viewers wachache tu kuna jamaa akanipigia simu kuwa nimepost document ya mtu. Tena mheshimiwa basi.Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Hahahaha hamna mikakati tu ya kuishi na wabongo wanafiki mwengine anaweka status akutambie........unkuta anachungulia umeviewKwahiyo unajikuta CIA au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Status watu wana pretend sana maishaStatus kuna unafki mwingi sana.
Kuna jamaa alipost jinsi ngamia anavyotaabika baada ya kuchinjwa huku akiweka caption ya kuwa binadamu sisi ni wakatili sana na akaongeza kwa kuweka nadhiri kuwa hatokuja kula nyama tena maisha yake yote.
Kuna siku nikaenda kumtembelea nikakuta kapika ugali nyama, nikamuliza mzee vipi mbona nyama tena na ulisema hutokula tena akajibu "naachaje kula nyama aisee".
Kimoyomoyo nikasema hiii...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
[emoji3]Status kuna unafki mwingi sana.
Kuna jamaa alipost jinsi ngamia anavyotaabika baada ya kuchinjwa huku akiweka caption ya kuwa binadamu sisi ni wakatili sana na akaongeza kwa kuweka nadhiri kuwa hatokuja kula nyama tena maisha yake yote.
Kuna siku nikaenda kumtembelea nikakuta kapika ugali nyama, nikamuliza mzee vipi mbona nyama tena na ulisema hutokula tena akajibu "naachaje kula nyama aisee".
Kimoyomoyo nikasema hiii...
Kama uliiscreen shot naiombaKuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Kuna mtu namheshimu sana alinipa simu yake nimrekebishie kitu, sasa kama unavyojua hizi simu ukiingia chrome ukiandika herufi moja kwenye kusearch, wanakuletea suggestions kulingana na search history yako.Kila MTU anaangalia porn,
Tunazidia viwango na privacy
Ila wanaoweka status ni wamezidi ata kama
Late hio nambaKuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu 2ltuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki😂
Same stori kazini kwangu, huyu mdada alipitia wakati mgumu sana, kazi hakuacha wala hakukosa kuja hata siku moja.Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Naitwa That Gentleman aka Food.Food is my daily status...😋😋
I love Food...
SahihiUkitaka kujua akili za mtu uliye na namba yake zipoje, ukiangalia Status yake tu utapata majibu
madam nylon, nakusalimia tu..Mmhh. Niliwahi post document confidential kabisa. Najua ntamtumia mwenyewe kumbe imeenda kujiweka status. Salama baada ya viewers wachache tu kuna jamaa akanipigia simu kuwa nimepost document ya mtu. Tena mheshimiwa basi.
Hawa wanafanya kusudi bwanaKuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Hii niliiona kuna mchizi mmoja alinitumia tena uyo dada alopost shoga ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akamuuliza anasema alikua anatania sio yakeKuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
watu wa hivi wananishangazaga [emoji23] bado hapo siku ya birthday hajaanza kupostKitu cha kijinga zaidi ni pale unapochati na mtu inbox halafu baadae unatuwekea sisi status[emoji23] eti ooh fulani umejua kunifurahisha