Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe kama mimi, yaani sina mpango wa kubadikisha DP maisha yangu yote...yaani ni kama picha ya kitambulisho cha nida tu.
Kama dp ya JF na twitter..........na sina mpango wa kubadilisha

Ujue bwana wabongo sisi jau san mtu hana time ukiweka status ndo anakoment wee upo .....yahn kwmba bila status asingejua kama upo so me nakaushaga tu.
 
Kila MTU anaangalia porn,
Tunazidia viwango na privacy

Ila wanaoweka status ni wamezidi ata kama
 
Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Mmhh. Niliwahi post document confidential kabisa. Najua ntamtumia mwenyewe kumbe imeenda kujiweka status. Salama baada ya viewers wachache tu kuna jamaa akanipigia simu kuwa nimepost document ya mtu. Tena mheshimiwa basi.
 
Status watu wana pretend sana maisha
 
Kuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji3]
 
Kila MTU anaangalia porn,
Tunazidia viwango na privacy

Ila wanaoweka status ni wamezidi ata kama
Kuna mtu namheshimu sana alinipa simu yake nimrekebishie kitu, sasa kama unavyojua hizi simu ukiingia chrome ukiandika herufi moja kwenye kusearch, wanakuletea suggestions kulingana na search history yako.

Sasa bwana nikaandika p, nikaona phonoretica imekuja kama suggestion ya kwanza kabisa, nikasema kimoyomoyo..hadi huyu..!
 
Late hio namba
 
Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Same stori kazini kwangu, huyu mdada alipitia wakati mgumu sana, kazi hakuacha wala hakukosa kuja hata siku moja.
 
Sijaona chochote chaajabu so far inawezekana ni kwasababu nipo very limited na contact zangu!Binafsi napenda kupost misosi🍛🍲 ninayopika,bible quotes,nikiwa vacay🏖️🧳,nikipendeza🤳 au special occasions birthday etc
 
Mmhh. Niliwahi post document confidential kabisa. Najua ntamtumia mwenyewe kumbe imeenda kujiweka status. Salama baada ya viewers wachache tu kuna jamaa akanipigia simu kuwa nimepost document ya mtu. Tena mheshimiwa basi.
madam nylon, nakusalimia tu..

assalaamu alaykum ✋
 
Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Hawa wanafanya kusudi bwana
Kuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
Hii niliiona kuna mchizi mmoja alinitumia tena uyo dada alopost shoga ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akamuuliza anasema alikua anatania sio yake
Kitu cha kijinga zaidi ni pale unapochati na mtu inbox halafu baadae unatuwekea sisi status[emoji23] eti ooh fulani umejua kunifurahisha
watu wa hivi wananishangazaga [emoji23] bado hapo siku ya birthday hajaanza kupost
 
kuna demu alikuw anaweka status za vijembe,kwa siku anaweka zaid ya picha 10 na vijembe juu,siku moja nikamwambia akajibu ameshazoea kama naona inshu nifute namba tu.kweli nilifanya ivo

baada ya week mbili alinitafuta kama masiara nikauliza nan akajitambulisha tu fresh.akanambia hivi kingkongtz we sumesomea course ya afya.kuna nafasi zimetoka kambini nitumie copy nimpelekee mkuu maana tunaelewana sana.

nilichukulia kawaida ,niliamua kumtumia.asa nikaosave tena namba yake,kama kawaida yake vijembe sana nikaamua kumute status zake.

baada ya usaili kupita huwez amin nilipata kaz ,kwenye usail tulikuw weng wao walihitaji 9 tuu.na matokeo yangu ata sio mazuri kivile ila demu alisababisha.

adi leo namheshimu na ujinga wake anaopostig namuita dada kanizid miaka 4

HAPO NDO HUWA NASHINDWA KUELEWA DUNIA IPOJE.tuishi tu peace na kila mtu ,tusichukulie serious sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…