Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Ushawahi kujiuliza hizi tambuzi huwa unazitumia wapi?

Kuhusu ww kusomeka ni kwa sababu unaamini unachofanya na wengine wanafanya ila unaweza kuta watu wanaview status wakiwa idle tu kupoteza mda and there is nothing about you kwenye akili zao yaani.
 
Kuna baadhi ya Mishe zinafanya tukutane a random quys wengi ,

so tunakutana pia na vitu /mambo random hiv hivo
 
Kuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
Duh aisee ndio maana Corona haitoki inazidi kubadiri tu style kama kinyonga
 
Kwanini ?? Inawezakana kuna utakaowapandisha thamani kupitia status
Sio kwa mtizamo huo. Kuna mtu unakuta unamheahumu sana ila kuna kitu akaabdika ukaona hana maana kabisa. Mfano mtu kagombana na mume wake anaeka status sasa hii ni akili au
 
Kuna dada mmoja ndugu kila siku lazima status kuhusu Mungu sijui nini nini lakini in real life ni mnafki mchinganishi sana. Huwa namchora tu.

Kuna maza angu mdogo anaweka status hata 100 kwa siku huyo huwa si view status zake maana unaweza kumaliza saa zima hujamaliza kuziangalia zake tu.

Kuna bro wangu (rafiki) yeye anapenda sana magari na pikipiki kila siku lazima apost exotic cars and bikes. Sijui anatoaga wapi hizo picha.

Kuna dada mwingine yupo Kenya huwa anapost sana wakorea hawa wasanii sijui BST yani hata status 50 kwa siku mpaka ikabidi nimuulize vipi? Maana anaonekana yupo obsessed sana na hao watu kiasi kwamba anajiona ni mke wa mmoja wao.

Mimi huwa si post status kabisa. Mimi ni viewer tu.
 
Ukitaka kujua akili za mtu uliye na namba yake zipoje, ukiangalia Status yake tu utapata majibu
Status zinadanganya sana.

Nna mademu wawili mmoja huwa anapost utumbo utumbo na mwingine anapost tu kawaida tena nadra na anapost vitu vya kawaida.


Ila trust me huyo anayepost utumbo utumbo ni mali safi, ni bonge la wife material.

Huyu mpole kama malaika loh. Acha kabisa.
 
You learned a lesson. Safi.

Siyo kila mtu ni wa kumchukulia poa.
 
Watu wenye vijembe huwa wana msaada hasa taarifa muhimu. Kile ambacho unaona ni udaku kuna siku kwako inakuwa ni taarifa muhimu sana na anaileta bila kutumia nguvu
 
Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Siku nyingine uwe unascreenshot ili utume na sisi wanachama tuone sio kuishia kuandika bila picha, leo nimekusamehe sitakutukana
 
Kuna baadhi ya Mishe zinafanya tukutane a random quys wengi ,

so tunakutana pia na vitu /mambo random hiv hivo
Mimi kama mtu simuelewi namueka upande tu....kuna ndugu yangu kabisa facebook alikuwa kuwa akipost mapicha ya wanawake yaani anashare nikaona huyu hayupo sawa nikaacha kumfollow tu kwa amani kimyakimya...kuna vitu siwezi kuvichukulia poa kama naona vinaenda against my nature!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…