Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Kuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu tuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki[emoji23]
Naomba namba yake, niungwe
 
Situation ka hii ishawai nikuta,Nilikuwa namfowadia mtu porn nkasahau nkaituma on my status,Japo niliifuta haraka lakini Siku nzima niliishiwa amani kabisa,Ilifikia hatua nkahisi wabaya wangu wenye WhatsApp gb wanaweza kunirepot TCRA nishitakiwe kwa makosa ya mtandao.
Una namba za wabaya wako... Mnaangaliziana hadi na status 😅😅
 
Hawa wanafanya kusudi bwanaHii niliiona kuna mchizi mmoja alinitumia tena uyo dada alopost shoga ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akamuuliza anasema alikua anatania sio yakewatu wa hivi wananishangazaga [emoji23] bado hapo siku ya birthday hajaanza kupost
Hahaha bado uko na ako ka screenshot asee ... Namimi nione ilivoanza kuzoea
 
Kuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu tuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki[emoji23]
Eti Africa mashariki[emoji38]
 
Baby wangu kapost hivi muda huu..

Huu ujumbe siuelewi

Screenshot_20210703-163613.png
 
Back
Top Bottom