Kiajiriwa kugumu yaani kiufupi maisha ya kutegemea mshahara ni jau sanaMwanaume kuridhika kupokea mshahara wa 300k ni kujichimbia kaburi
Weka nauli, mahitaji kama chakula, mavazi, kodi, mke na watoto hapo mshahara wote unaisha na madeni juu
familia haitapata milo mitatu na wewe hutokaa uongeze shati wala kiatu ni mateso makali sana.
Ni kweli mkuu ila sasa michongo ya salary ndefu aipatikani kaka..Mwanaume kuridhika kupokea mshahara wa 300k ni kujichimbia kaburi

Inategemea na sehemu uliyoajiriwa mkuuKiajiriwa kugumu yaani kiufupi maisha ya kutegemea mshahara ni jau sana
vipi ulipata kazi nyengine au bado tena unasota kitaa?Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu.
Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%, hasa kwenye nafasi za uongozi mameneja, ceo, hr, muhasibu mkuu, n.k.
nakumbuka nililipwa mshahara kwa wakati mwezi wa kwanza tu shilingi laki 3, baada ya hapo mshahara ulikuwa unapigwa kalenda badala ya kulipwa mwisho wa mwezi tunalipwa mwezi ujao shilingi laki 2 na nusu katikati, nikaambiwelf 50 watafidia mshahara ujao ujao lakini ilipita miezi miwili hakuna mshahar nikaja kulipwa laki 4, nikaahidiwa watamalizia laki 2 na nusu mshahara ujao,
ilikuwa ni siku yangu ya mwisho kukanyaga, sikurudi tena
kuna watu walikuwa na viporo vya miezi minne bado walikomaa.
duhNiliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu.
Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%, hasa kwenye nafasi za uongozi mameneja, ceo, hr, muhasibu mkuu, n.k.
nakumbuka nililipwa mshahara kwa wakati mwezi wa kwanza tu shilingi laki 3, baada ya hapo mshahara ulikuwa unapigwa kalenda badala ya kulipwa mwisho wa mwezi tunalipwa mwezi ujao shilingi laki 2 na nusu katikati, nikaambiwelf 50 watafidia mshahara ujao ujao lakini ilipita miezi miwili hakuna mshahar nikaja kulipwa laki 4, nikaahidiwa watamalizia laki 2 na nusu mshahara ujao,
ilikuwa ni siku yangu ya mwisho kukanyaga, sikurudi tena
kuna watu walikuwa na viporo vya miezi minne bado walikomaa.
Yes kama sehemu unapokea milioni 5 take home kupanda juu inaweza kuwa nafuuInategemea na sehemu uliyoajiriwa mkuu
Stahiki zote nilikuwa napata, kisanga kipo kwenye likizo, miaka miwili unapuumzishwa wiki 1Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu.
Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%, hasa kwenye nafasi za uongozi mameneja, ceo, hr, muhasibu mkuu, n.k.
nakumbuka nililipwa mshahara kwa wakati mwezi wa kwanza tu shilingi laki 3, baada ya hapo mshahara ulikuwa unapigwa kalenda badala ya kulipwa mwisho wa mwezi tunalipwa mwezi ujao shilingi laki 2 na nusu katikati, nikaambiwelf 50 watafidia mshahara ujao ujao lakini ilipita miezi miwili hakuna mshahar nikaja kulipwa laki 4, nikaahidiwa watamalizia laki 2 na nusu mshahara ujao,
ilikuwa ni siku yangu ya mwisho kukanyaga, sikurudi tena
kuna watu walikuwa na viporo vya miezi minne bado walikomaa.
Hatari sana hii, ulikaa hapo miaka mingapi?Restaurant huko Msasani miaka hiyo,
Acha mshahara mpk wapende.
Bosi anakusanya tip zote eti atugawie mwisho wa mwezi.
Mkewe changu anakomba kibubu analamba zoote anaenda kucheza kamari.
MAkombo yoote kwenye vibakuli yanakusanywa wazungu wakibakisha.
Badae mda wa kufunga wanakipimp tena jikoni
Wanakula family nzima mda wa kufunga.
Ole wako udokoe makombo.