babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hatari sana hii, ulikaa hapo miaka mingapi?
Hatari sana hii, ulikaa hapo miaka mingapi?
Bado mchepuko hapo na michuziMwanaume kuridhika kupokea mshahara wa 300k ni kujichimbia kaburi
Weka nauli, mahitaji kama chakula, mavazi, kodi, mke na watoto hapo mshahara wote unaisha na madeni juu
familia haitapata milo mitatu na wewe hutokaa uongeze shati wala kiatu ni mateso makali sana.
mbna huelewekiMabosi jau! Ile Pochi ili ipite ilikuwa ni lazima ipite na signatures za watu kadhaa Tukaipambania Pochi Mzigo Umeingia Boss Anatugawia laki laki kadhaa wakati yeye Alikuwa Anaenda Badilisha Maisha yake Binafsi Sikuichukua ile Hela na Boss akaja kuniletea zengwe nikaresign nikaenda pambana kwengine!
Mbona Malolo boss inasifika sanaa watu hata Kitete wanapakataa,, st. Anna kule ipuli kuna case zinawapiga wanapeleka Malolo.kuna hospitali inaitwa malolo ipo tabora mjini ,nahisi jamaa ameamua kuua hospitali yake kwa mikono yake mwenyewe
hakuna kituMbona Malolo boss inasifika sanaa watu hata Kitete wanapakataa,, st. Anna kule ipuli kuna case zinawapiga wanapeleka Malolo.
Pole hapo itakuwa kwa wahindiNiliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu.
Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%, hasa kwenye nafasi za uongozi mameneja, ceo, hr, muhasibu mkuu, n.k.
nakumbuka nililipwa mshahara kwa wakati mwezi wa kwanza tu shilingi laki 3, baada ya hapo mshahara ulikuwa unapigwa kalenda badala ya kulipwa mwisho wa mwezi tunalipwa mwezi ujao shilingi laki 2 na nusu katikati, nikaambiwelf 50 watafidia mshahara ujao ujao lakini ilipita miezi miwili hakuna mshahar nikaja kulipwa laki 4, nikaahidiwa watamalizia laki 2 na nusu mshahara ujao,
ilikuwa ni siku yangu ya mwisho kukanyaga, sikurudi tena
kuna watu walikuwa na viporo vya miezi minne bado walikomaa.
tafuta mkalimani akutafsirie mkuumbna hueleweki
😂😂😂Mwanaume kuridhika kupokea mshahara wa 300k ni kujichimbia kaburi
Weka nauli, mahitaji kama chakula, mavazi, kodi, mke na watoto hapo mshahara wote unaisha na madeni juu
familia haitapata milo mitatu na wewe hutokaa uongeze shati wala kiatu ni mateso makali sana.
😂😂😂Kuna wapumbavu huko kila mshahara wake kila mwezi kuna hela ya meneja aliempa kazi lazima atoe
😂😂😂😂Restaurant huko Msasani miaka hiyo,
Acha mshahara mpk wapende.
Bosi anakusanya tip zote eti atugawie mwisho wa mwezi.
Mkewe changu anakomba kibubu analamba zoote anaenda kucheza kamari.
MAkombo yoote kwenye vibakuli yanakusanywa wazungu wakibakisha.
Badae mda wa kufunga wanakipimp tena jikoni
Wanakula family nzima mda wa kufunga.
Ole wako udokoe makombo.
Mengi tu mdau..Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu.
Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%, hasa kwenye nafasi za uongozi mameneja, ceo, hr, muhasibu mkuu, n.k.
nakumbuka nililipwa mshahara kwa wakati mwezi wa kwanza tu shilingi laki 3, baada ya hapo mshahara ulikuwa unapigwa kalenda badala ya kulipwa mwisho wa mwezi tunalipwa mwezi ujao shilingi laki 2 na nusu katikati, nikaambiwelf 50 watafidia mshahara ujao ujao lakini ilipita miezi miwili hakuna mshahar nikaja kulipwa laki 4, nikaahidiwa watamalizia laki 2 na nusu mshahara ujao,
ilikuwa ni siku yangu ya mwisho kukanyaga, sikurudi tena
kuna watu walikuwa na viporo vya miezi minne bado walikomaa.
Kwann na ni hospital kubwa tunaitegemea taborakuna hospitali inaitwa malolo ipo tabora mjini ,nahisi jamaa ameamua kuua hospitali yake kwa mikono yake mwenyewe