Uliwahi kupitia manyanyaso gani ulipoajiriwa private ?

Hizo ni sehemu 3 tofauti na sikuwai kukaa mwaka zote
Ya mwisho na mshikaji tuliagiza seafood take away2x2 tukatambaa nazo home.
Jamaa tulikua tunamdai miezi miwili hamna salary
 
Bado mchepuko hapo na michuzi
 
kuna hospitali inaitwa malolo ipo tabora mjini ,nahisi jamaa ameamua kuua hospitali yake kwa mikono yake mwenyewe
 
mbna hueleweki
 
kuna hospitali inaitwa malolo ipo tabora mjini ,nahisi jamaa ameamua kuua hospitali yake kwa mikono yake mwenyewe
Mbona Malolo boss inasifika sanaa watu hata Kitete wanapakataa,, st. Anna kule ipuli kuna case zinawapiga wanapeleka Malolo.
 
Pole hapo itakuwa kwa wahindi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mengi tu mdau..
 
Mateso niliyopitia nilikatazwa kupiga nyeto chooni mana watu walikuwa wanateleza wakiingia humo ijapokuwa Nilikuwa namwaga maji fresh tuu, nikaona huo n upuuzi nikaacha kazi.

Anyway, naombeni kazi wakuu 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…