Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

Hawaheshimu wa magari madogo barabarani pamoja na wa mabasi.Ukiwa na gari ndogo unatakiwa kuchukua tahadhari kubwa sana unapokutana na Lori au basi,Huwa hawana nidhamu kabisa Kwa gari ndogo.wanaweza kukukwangua au kukusababishia ajali isiyo ya lazima
 
Hawaheshimu wa magari madogo barabarani pamoja na wa mabasi.Ukiwa na gari ndogo unatakiwa kuchukua tahadhari kubwa sana unapokutana na Lori au basi,Huwa hawana nidhamu kabisa Kwa gari ndogo.wanaweza kukukwa gua au kukusababishia ajali isiyo ya lazima
NI mtazamo ......
Madereva wa malori ni waungwana sana hakuna mfano......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…