Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

Woteee malaya
Kuna wale wanawake wanaitwa NGEDERE MAGARI anakusimamisha halafu anakuuliza unakwenda wapi.......Kwa mfano kakusimamisha maeneo ya Mbezi....ukimwambia naenda Tunduma naye atasema anakwenda hukohuko.....ukibadilisha ukimwambia nakwenda Rusumo naye atasema anakwenda huko,,,,,,,,
Sasa hapo tufanyaje??? na Wanaume tumeumbwa kunyoosha migongo ili tusipate tezi dume........
Hawa NGEDERE MAGARI wanajua kwamba twawakuna vyema ndio maan wanajileta wenyewe......
REf,,,Cheki hiyo picha kuna Tende...KOrosho,,,Asali.....
 
Back
Top Bottom