proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
..ahahahaaaaaaWafia dini wataleta hekaya zao za Biblia na Quran sasa hivi.
smartphone.comAh GenZ tumetengwa hapa. Novel sijui play sijui kama watu wanasom siku izi. Ngoja waje
Inaonesha hata form 3 hukufikaAh GenZ tumetengwa hapa. Novel sijui play sijui kama watu wanasom siku izi. Ngoja waje
Hiki ngoja nikitafute naonaga tu watu wanakisifia sanaaThings Fall Apart-Chinuo Achebe
Kwann mkuu😂😂Inaonesha hata form 3 hukufika
Kama hujui hizi novel na play Tajwa hapo juu nisemejeKwann mkuu😂😂
Aaha nazijua sanaa. Nje ya school sjui kama Genz wana time ya kusoma hizo novels etcKama hujui hizi novel na play Tajwa hapo juu nisemeje
THe wreath of father mayor.Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli
wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.
Wafia dini wataleta hekaya zao za Biblia na Quran sasa hivi.
Hujaelewa mada ww embu soma tena usisahau title halafu uje usome hii hoja yako n vitu viwili tofautiAaha nazijua sanaa. Nje ya school sjui kama Genz wana time ya kusoma hizo novels etc