Naomba nitumie soft copy kipenzi 😹😹The power of the pussy
James Hadley Chase1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
SAFI SANARiwaya za ben r mtobwa. Kiguu na njia,zawadi ya ushindi, dares salam usiku, roho ya paka,nyuma ya mapazia, pesa zako zinanuka, lazima ufe joram,tutarudi na roho zetu,mwalimu mwenye mkono wa bandia,mpishi mwenye kibiongo,kipofu mwenye miwani myeusi.riwaya ya c.g. mung'ong'o inaitwa mirathi ya hatari.
Riwaya za euphraze kezilahabi Nagona,mzingile,rosa mistika.riwaya simu ya kifo kama sio msiba itakuwa katalambula ndio mwandishi.
Riwaya ya gabriel ruhumbika inaitwa janga sugu la wazawa.
Riwaya za shaban robert adili na nduguze, maisha yangu na baada ya miaka hamsini, wasifu wa siti binti saad .nimechoka kuandika ni nyingi sana nimesoma hizo zote hapo juu nimesoma achana na zile za olev na advance.
Tamthiliya za mashetani,kitumbua kimeingia mchanga pambo,ngoma ya ng'wanamarundi,tendehogo
Mashairi, da diwani ya mnyampala,ya mathias mnyampala, utenzi wa nyakiiru kibi.
Riwaya za safari ya chinga,safari ya prospa ,kisiwa chenye hazina, shamba la wanyama .wadau nivingi nimesoma.vingine nimeanza kuvisahau.
Ninety minutes at Entebbe- it was 1980Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli
wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.
Kama ndicho kilichowavutia, Biblia au Quran, usiwapangie, wala usiwakemee, ni hisia na zao.Wafia dini wataleta hekaya zao za Biblia na Quran sasa hivi.
Akuna kama untold storyKuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli
Wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.
View attachment 3441248
Watoto wa mama Ntilie na His Excellence the Head of StateKuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli
Wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.
View attachment 3441248
Sidney yuko vzr...Katika kusoma novels kwangu kote...'If tomorrow comes' ya Sidney Sheldon nimeipa 100/100
Jamaa anajua sana
Vitabu vyengine ni vya Adam Shafi, novels zake zote nimezisoma lkn story ya 'Haini' ndio my favourite. In fact vitabu vyake vyote nimenunua
Unakuta ana shahada yake na ni 1st classInaonesha hata form 3 hukufika
Ongezea1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
Kuna kitabu ameandika Tim Butcher...Chasing the Devil out of Africa through prayers.Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli
Wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.
View attachment 3441248
Hii hadithi ya umslopogaas ndio the best of them all."Makumazan"