Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Neria, ni binti mmoja alitolewa huko Africa magharibi kupelekwa Italy au France.
Km kawaida kazi ilikua atasaidia tu nyumbani pale basi
Alichokikuta kule kilimuangusha sana.
Bosi wake alimgeuza mtumwa ngono.
So huyo binti amepigwa mande mara nyingi km mnyama.
Aliempeleka au kumpa connection akimweleza hajali.
Na huyo jamaa alikopelekwa akawa analeta marafiki zake wanachafua kila shimo wanaloona.
Yule binti either alijiua au alipata kijana mwema wakakimbia kwenda kuanza maisha mengine kokote.
Ntakitafuta library tena soft copy.
Kitakua kwenye record zangu
 
Jamani kama kuna mtu ana soft copy za vitabu vya shaaban Robert anipadie..
 
Riwaya za ben r mtobwa. Kiguu na njia,zawadi ya ushindi, dares salam usiku, roho ya paka,nyuma ya mapazia, pesa zako zinanuka, lazima ufe joram,tutarudi na roho zetu,mwalimu mwenye mkono wa bandia,mpishi mwenye kibiongo,kipofu mwenye miwani myeusi.riwaya ya c.g. mung'ong'o inaitwa mirathi ya hatari.

Riwaya za euphraze kezilahabi Nagona,mzingile,rosa mistika.riwaya simu ya kifo kama sio msiba itakuwa katalambula ndio mwandishi.

Riwaya ya gabriel ruhumbika inaitwa janga sugu la wazawa.

Riwaya za shaban robert adili na nduguze, maisha yangu na baada ya miaka hamsini, wasifu wa siti binti saad .nimechoka kuandika ni nyingi sana nimesoma hizo zote hapo juu nimesoma achana na zile za olev na advance.

Tamthiliya za mashetani,kitumbua kimeingia mchanga pambo,ngoma ya ng'wanamarundi,tendehogo

Mashairi, da diwani ya mnyampala,ya mathias mnyampala, utenzi wa nyakiiru kibi.


Riwaya za safari ya chinga,safari ya prospa ,kisiwa chenye hazina, shamba la wanyama .wadau nivingi nimesoma.vingine nimeanza kuvisahau.
Mkuu, shauna softy copies za vitabu ( Riwaya ) za Euphrase Kezilahabi?
 
Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.

Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.

Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli

Wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.

View attachment 3441248
Poor dad and rich dad
 
Back
Top Bottom