Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Mimi ni Me Ila nilikisoma. Nilikisoma 2020

Ingia google utakipata, Kwa hakika utafurahia na utakuwa unapata pesa kirahisi sana

Mm kilinifunza kupata Ke ninayetaka Kwa kufuata kanuni maalum😂😂😂
😹😹😹 umeanza kamba sasa..!!
 
"Mabala the Farmer":
Mabala, mwanaume aliyekuwa mwalimu wa somo la hisabati, lakini baadaye aliacha kazi hiyo na kuamua kuwa mkulima. Uamuzi wake unazua mjadala mkubwa katika jamii yake, kwa sababu wengi waliona kuwa kuacha kazi ya heshima kama ya ualimu ili kuwa mkulima ni kushuka hadhi.

Mabala anaonyesha kuwa kilimo ni kazi ya maana, chenye tija na heshima kama kazi nyingine yoyote. Anatumia maarifa yake ya kisayansi na kitaaluma kuboresha kilimo chake na kufanikisha mavuno bora. Wakati watu wengine wanamcheka na kumdharau, mwishowe wanaanza kumkubali baada ya kuona mafanikio yake.
 
1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
1. Mashimo ya mfalme suleiman mwandishi ni Henry Rider Haggard 6. African Child mwandishi ni Camara Laye 2. Huyo mwandishi ni Elechi Amadi
 
Naomba nitumie soft copy kipenzi 😹😹
The power of Pussy by Kara king.

Nilikisoma muda sana, 2019.

Nilitaka kuona huyu Mwandishi anamawazo gani , uzoefu gani , mtazamo gani na Wanaume katika Love.. kipo vizuri.

Anatoa code, Japo si nyingi sana kuhusu wanaume.

Anatia motisha female Kupata unachotaka kwa male,
 

Attachments

Principles for dealing with changing world order. "Why nations succedd & Fail.

By Ray dalio.

Kitabu safi sana.
 
Shetani hayupo.
Vipi Mr, ushawahi kupitia hili gombo, The origin of Satan by Elaine pagels.


Huyu mwanamama mwanahistoria na professor wa religious Princeton university. Nyuma kidogo nilipitia Vitabu vyakee vingi.

Sawa na Bart d erhleman, ambao katika agano jipya (historia yake, Textual criticism, dogma, Noncanical gospel) wapo njema.

Japo Bart d erhleman, anasitasita katika mazawo mawili kama Manabii wa Baal na Nabii Eliya.

Bart d erhleman ni Agonistic.
 
Back
Top Bottom