Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kitabu cha alfu lela ulela ✅
Hapana, ninayo hardcopy mkuuUNa nakala laini urushe hapa
Soma na hizi mkuu hutajutiaAutobiography ya Hilary Clinton, hili dude lilinikeshesha sana, na Becoming Michele. Pamoja na Jews phenomenal, hivi nasoma kwa kuvirudia sana,[emoji847]
Vingine nimesoma for leisure tu, especially hizi Fictions.
Soma na hizi mkuu hutajutia
"I'M MALALA" hiki kitabu kinaelezea binti anayeitwa malala na jinsi alivyopambania wanawake kusoma na wataliban alipigwa risasi kichwani wakati wanaenda shule na wenzake akapata udhamini wa matibabu na masomo nje ya nchi ENGLAND na akabadilisha kabisa mtazamo huo nchini kwake nadhani alikuwa Tanzania last month if I'm not mistaken.
"LONG WALK TO FREEDOM " hiki kitabu kimenifanya nijue haki zangu na kuzipigania kwenye kitabu Mandela anaelezea jinsi alivyokaa gerezani miaka 27.5 bila ya kubadilisha dhamira yake lakini pia anasema anjivunia kuikoa Africa kusini lakini katika vitu ambavyo anajutia ni kukosa kumzika mtoto wake wa kwanza ambaye alifariki na ajali ya gari na mama yake mzazi.
"DREAM FROM MY FATHER " cha Barak Obama nimejifunza mengi sana na hivyo ni must read books ila mkuu kama unayo soft copy ya Clinton nitumie.
Ukienda kwenye pdfdrive.com unakipata buree kabidaMwenye soft copy ya Things fall Apart naomba Tafadhali
Hicho cha Mandela Cha Long walk to freedom, Nilikiweka kwenye ratiba ila nikakutana na Replies za wale Afrikaans wanalaumu Mandela sold us. Wanalaumu hatukutaka uhuru tu kidemkcrasia na mamlaka, Bali wa kiuchumi tulitaka uhuru wa kumiliki Mali na kurejeshewa ardhi zetu kama damu za Freedom fighters zinavyomiminika Zambezi liver. Mandela sold us.Soma na hizi mkuu hutajutia
"I'M MALALA" hiki kitabu kinaelezea binti anayeitwa malala na jinsi alivyopambania wanawake kusoma na wataliban alipigwa risasi kichwani wakati wanaenda shule na wenzake akapata udhamini wa matibabu na masomo nje ya nchi ENGLAND na akabadilisha kabisa mtazamo huo nchini kwake nadhani alikuwa Tanzania last month if I'm not mistaken.
"LONG WALK TO FREEDOM " hiki kitabu kimenifanya nijue haki zangu na kuzipogania kwenye kitabu Mandela anaelezea jinsi alivyokaa gerezani miaka 27.5 bila ya kubadilisha dhamira yake lakini pia anasema anjivunia kuikoa Africa kusini lakini katika vitu ambavyo anajutia ni kukosa kumzika mtoto wake wa kwanza ambaye alifariki na ajali ya gari na mama yake mzazi.
"DREAM FROM MY FATHER " cha Barak Obama nimejifunza mengi sana na hivyo ni must read books ila mkuu kama unayo soft copy ya Clinton nitumie.
Wamekituma tayar humu ila kukisoma cjaanzUkienda kwenye pdfdrive.com unakipata buree kabida
Sasa hayo yote na majibu yake utayapata kwenye hicho kitabu na raisi wa sasa wa sauz Africa ni miongoni mwa wanafunzi wa mandela kwenye siasa wanasema hvyo kwasababu hawajui uhalisia ni kama dunia ilivyo aminishwa kwamba idi Amin gadafi na sadam Hussein walikuwa watu wabaya ambayo majibu ya hayo yote utyapata kwenye kitabu cha "CONFESSION OF AN ECONOMIC HITMAN "Hicho cha Mandela Cha Long walk to freedom, Nilikiweka kwenye ratiba ila nikakutana na Replies za wale Afrikaans wanalaumu Mandela sold us. Wanalaumu hatukutaka uhuru tu kidemkcrasia na mamlaka, Bali wa kiuchumi tulitaka uhuru wa kumiliki Mali na kurejeshewa ardhi zetu kama damu za Freedom fighters zinavyomiminika Zambezi liver. Mandela sold us.
Nitumie hicho cha ClintonHicho cha Mandela Cha Long walk to freedom, Nilikiweka kwenye ratiba ila nikakutana na Replies za wale Afrikaans wanalaumu Mandela sold us. Wanalaumu hatukutaka uhuru tu kidemkcrasia na mamlaka, Bali wa kiuchumi tulitaka uhuru wa kumiliki Mali na kurejeshewa ardhi zetu kama damu za Freedom fighters zinavyomiminika Zambezi liver. Mandela sold us.
Mkuu kama una soft copy ya Confession of an Economic Hitman iweke hapa jukwaaniSasa hayo yote na majibu yake utayapata kwenye hicho kitabu na raisi wa sasa wa sauz Africa ni miongoni mwa wanafunzi wa mandela kwenye siasa wanasema hvyo kwasababu hawajui uhalisia ni kama dunia ilivyo aminishwa kwamba idi Amin gadafi na sadam Hussein walikuwa watu wabaya ambayo majibu ya hayo yote utyapata kwenye kitabu cha "CONFESSION OF AN ECONOMIC HITMAN "
Wakati mwingine tunawalaumu tu viongozi wetu ila yaliyopo behind the scenes unatakiwa uwe na akili kama za magufuli.
Hicho kitabu ni Niko😂Naomba nitumie soft copy kipenzi 😹😹
Hicho kitabu ni niokoNaomba nitumie soft copy kipenzi 😹😹
Nitumie basi mahi 😹Hicho kitabu ni nioko
Nitumie basi mahi